MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 785
ungeleta picha ya hiyo gari au namba zake ungekuwa umepungaza udaku wa taarifa hii kwa kiasi kikubwa
Hali huko ni mbaya na difender za FFU zinaongezeka , tutarajie kutokea kwa maafa makubwa huko....
This is becoming more serious than we expected. Sasa wananchi wa Mtwara kama hawataki hata majadiliano kwa hiyo sasa wanataka nini? Wamejuaje kama alikuwa amekuja kuwashawishi wazee wa Mtwara wakubali na si kwamba alikuja kujadiliana nao juu ya nini kifanyike? Nafikiri ni wakati mzuri kwa wananchi wa Mtwara kutoa nafasi kwa ajili ya majadiliano.
Niliwahi kuuliza siku moja kwamba hivi wakiendelea kufanya haya wanayoyafanya, halafu serikali ikaamua kughairi kabisa mpango wa ama kupeleka gesi Dar au kujenga mtambo pale Mtwara, badala yake wakaelekeza macho kwenye makaa ya mawe kule Ludewa, wananchi wa Mtwara wataifanyia nini hiyo gesi? Watachota kwenye ndoo na kwenda kuuza au wataifanyeje?
Hoja yao ina msingi, lakini waruhusu majadiliano, kama haiwezekani kujenga mtambo kule basi wakubaliane na serikali terms nyingine zinazoweza kuapply ili na wao wanufaike. Lakini ubabe huu hauna maana kabisa, na unaweza usiwafikishe pazuri kabisa.
Sasa hivi ni usiku sana, polisi wana guts gani kwenda kwenye kijiji gizani namna hii.
Au watu wa Msambati ni waoga sana.
I thought ndo wangewafundisha somo hawa waonevu wa demokrasia.
Sasa hivi ni usiku sana, polisi wana guts gani kwenda kwenye kijiji gizani namna hii.
Au watu wa Msambati ni waoga sana.
I thought ndo wangewafundisha somo hawa waonevu wa demokrasia.
Hakukuwa na haja ya kumshambulia, badala yake ulikuwa ndiyo wakati mzuri kwao kumweleza black and white wanachokitaka, na yeye kusema anayofikiria. Na hiyo ndiyo njia za kiutendaji kazi za serikali. Huwezi kukurupuka kuitisha talk na umati wa watu kabla hujapata tips ya nini kilichopo kwenye ground.Mkuu, hayo ya afisa usalama kwenda kwa bibi ni majadiliano?
Bibi ndo wana Mtwara? Huo ni ushawishi.
Serikali ikitaka kufanya majadiliano inaweza kufanya, lakni sio kijanja janja kwa kutuma viroboto.
Tushukuru kwamba maisha ya mtu huyo yapo salama.
Huwezi kumkejeli na kumpa maneno ya dharau mtu then, uende kushawishi badala ya kuonyesha intention to talk.