Mtusaidie kwa maombi

Siri Sirini

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
547
198
Habari wana jf, me na Madame B tulikuwa tunauguliwa na baba yetu, anaumwa kansa ya tumbo kwa mda sasa, sasa leo tumepigiwa cm asubuhi sana kuwa amezidiwa sana, hapa tupo njiani tunaenda mbezi alipokuwa anaugulia, lkn nahc kuna kitu zaidi ya kuzidiwa, mtuombee tusikute msiba, hapa naandika kwa kujikaza
 
Neno la Mungu linasema,He sent forth his word and deliver them from their destruction,distance is not a barrier every storm that is consuming ur father i decree 'peace be still' in Jesus name.every arrow that have been sent to your father i return it back to the sender in Jesus name,the word of God saith if the thief is caught stealing he will restore 7 times i decree restoration to your father's health in Jesus name.
 
pole Kijino na Madame B

ni ngumu hali hii lakini ni kazi ya Mola! haina makosa!
Mshukuru Mungu na muombe akupe nguvu ya kukabiliana nayo!
My prayers are with you!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom