Mtoto wangu ananishangaza

Probably ni first born ndio maana unashangaa, kawaida sana mtoto kutembea miezi nane, na inawezekana mlimzoweza mapema kutojidia kwenye diapers ndio maana akitaka kujisaidia anasema

Hongera sana
Yes ni first born mkuu. Ila nimeshangaa maana naonaga watoto mpaka 5 years anajikojolea na kujinyea.
 
Hongera mkuu, watoto hawafanani na ata ivyo watoto wengi wa siku hizi wako Smart sana. Yaani wanazaliwa wakiwa na akili zao kabisa tofauti na sie kipindi Tunakua akili tumezikuta ukubwani.

Pia ni wakati wako wa kujua kipaji Gani anacho mbali na u-smart anauonyesha, hiyo itasaidia kumkuxa katika Taaluma yake Binasfi.

GOODLUCKY
Nashukuru dingi
 
Atakuwa wa kike bilashaka iyo ninkawaida kwa watoto wa kike yupo wa jiran yangu kama miaka 2 ila anakariri watu vibaya mno tena kwa majina hajikojolei,akijinyea anakuwa mpole na hasogei ilo eneo unakuta keshavua nguo
 
Hapana mkuu ni kachalii ka kiume
 
Kuna kichalii miaka 3 anachezea smart mtu mzima akasome,anajuwa file za mziki video game na anajuwa kutoka kurudi, kustop wimbo, kupokea simu watoto ni wadadisi sana sana
 
Vyema watoto saiv wanajitambuwa mapem hi ni kwasababu wanachangamana na watu wazima, unakuta kitoto kinajuwa hadi matusi na ukitukana kana juwa
Huyu dogo ukimwachia simu kitu anashindwa ni kutoa password tu ila kupiga picha, kupiga simu na hasa youtube anapenda sana akiona tu ka logo ka youtube anabofya halafu anaenda kwenye zile shorts au kwenye zile una view sana. Anapenda sana wimbo wa Juu na Calm Down wa Rema.
 
Kuna kichalii miaka 3 anachezea smart mtu mzima akasome,anajuwa file za mziki video game na anajuwa kutoka kurudi, kustop wimbo, kupokea simu watoto ni wadadisi sana sana
Yeah mkuu huyu wangu akifika huo umri atakuwa amemzidi huyo maana anajua vyote hivyo.
 
Back
Top Bottom