Mtoto wa kiume na mama yake wanalala Chumba Kimoja

Akilala na mama yake inahuu nini ....mi wakat niko A-level nilipangiwa shule y mkoa anaoish dada yangu.nilikua nalala na dada yangu tena kitanda ki1 coz alikua anachumba hicho kimoja na niliku safe kabisa ht nilikua sihisi chochote ....hakuna m2 anaependa hali hiyo ht mimi nilikua cfurahii ila unakua huna la kufanya .....yacyokuhuu achana nayo.ngoja niombe kw invisible ruhusa y kuku2kana ntrudi.
 
we kauka tu kama ni rafiki yako na anayataka mabadiliko basi yeye mwenyewe atakutaka ushauri ukiona halizungumzii hili suala bac haitaji ushauri wako
 
Akilala na mama yake inahuu nini ....mi wakat niko A-level nilipangiwa shule y mkoa anaoish dada yangu.nilikua nalala na dada yangu tena kitanda ki1 coz alikua anachumba hicho kimoja na niliku safe kabisa ht nilikua sihisi chochote ....hakuna m2 anaependa hali hiyo ht mimi nilikua cfurahii ila unakua huna la kufanya .....yacyokuhuu achana nayo.ngoja niombe kw invisible ruhusa y kuku2kana ntrudi.

Umeona eehhh hata haimuhusu yeye anaanza kiherehere yeye kaambiwa hajaombwa ushauri anaanza eti nimshauri ahame kakwambia anataka kuhama?? Shame on you!!!
 
Umeona eehhh hata haimuhusu yeye anaanza kiherehere yeye kaambiwa hajaombwa ushauri anaanza eti nimshauri ahame kakwambia anataka kuhama?? Shame on you!!!

Kanikera huyu jamaa.v2 vicvyomuhusu analeta humu ili iweje.... wa2 huwa wanavalishwa kanga hv hv
 
kama dingi yake yupo hai, mchukueni mkampime akili, babake atakuwa amechizi....kama hayuko hai, basi jamaa anaweza kuwa anafanya kitu kibaya na mamake...sasa, chumba kimoja na mama, mama akila maharage jana yake midundo ikisikika jamaa anasikilizia na kuinusa anajisikiaje, yeye pia anajisikiaje kufanya hivyo? sijawahi kusikia, ila kwa wachawi tu, ambao huwa wanafnaya hivyo kwa madawa, wengine wanalala na mama zao hata wakwe zao na kufanya nao ngono ili kulisha uchawi...
 
Kama hali y maisha ni tete na wana chumba ki1 watafanyaje.kwan kulala chumba ki1 na mama yako ni kwamba mnafanya ngono ....acheni ufa** nyie.
 
ukifatilia hii mada,utagundua akili zetu wengi ni ngono 24/7,mmewezaje kkukimbilia huko baina ya mama na mtoto.....:hand:
 
Ushauri unatolewa kwa njia mbili:
1. Ikiwa mtu kakuomba umshauri. Ikiwa hukuombwa, akikuambia "sijaomba ushauri wako", utabakia uso mdogo
2. Ikiwa kuna hali inayohatarisha maisha, itasababisha janga au kuleta aibu itayokuhusu.

Sijui katika haya mawili lipi linakuhusu wewe.
 
Yaelekea wanaolala chumba kimoja na mama/dada/kaka zao humu ni wengi eeeh? Maana naona jamaa kashambuliwa sana!
 
Nikuulize kwanza wewe unalionaje hilo la rafiki yako? Ushauri hata huu unahitaji toka kwa wana JF... Kweli wana JF kazi mnayo na mtaumia vichwa sana kwa kushauri.... Kwani wewe hauna ubongo wa kufikiri. Thats tooooo much....
 
Mtotohakui kwa mamake, labda mamake anamlea bado, kuna watoto wanahitaji uangalizi usiku hasa ile tabia ya kujiviringisha na kujifunua so mama huwa anamfinika usikuakijifunua!
 
Swali ni je anafanya hivyo kwa kupenda au kutokana na ugumu wa maisha kwamba wana chumba kkimoja tu?
Nadhani hapo ndipo unaweza saidiwa ipasavyo kama utafafanua.
 
Mtotohakui kwa mamake, labda mamake anamlea bado, kuna watoto wanahitaji uangalizi usiku hasa ile tabia ya kujiviringisha na kujifunua so mama huwa anamfinika usikuakijifunua!
hahahahahahaha! Hili nalo neno.
 
Jaman huyu jamaa ni rafk yang wa karibu umri wak ni miak 26.alinishangaz aliponambia jan kua analala chumb kimoj na mama yak,nilikosa cha kumwambia kwsabb niliona ni maajab.jaman nipeni ushaul nimshaulije mwenzang aweze kuhama?au unahis kuna nn hapo?

Habari hii inamwelekeo wa UMBEA na UONGO zaidi kuliko ukweli. Isije ikawa wewe ndiye unayelala na MAMA yako na unataka kuona maoni ya wwana JF ili uendelee na tabia hiyo. Acha umbea
 
Back
Top Bottom