Mtoto wa kiume na mama yake wanalala Chumba Kimoja

Sasa kipi cha ajabu hapo? We unafikiria nini kwani?
Mie toka ugonjwa wa dengue uingie nimehamia chumbani kwa kaka yangu. Ni kama vile mmelala jinsia moja tu...

Dengu Mbona la kawaida sana... nunua panadol na maji Lita 6+ chumbani. You will be safe
 
OK, nimepitisha macho vyema na nimegundua mengi. Kubwa ni kuwa kijana kadekezwa na hajazowea kazi. Hapendi kazi. Kazi sio utamaduni wake. Km mama yuko sawa kiafya basi mwambie atoke hapo haraka. Otherwise watakuwa na ajenda ya kichwawi. Nawasilisha
 
Back
Top Bottom