Mtoto wa kitanga anahitajika!!

Jamani kwenda Tanga anahitaji visa? Tena watoto wa kule hawana makuu nakumbuka kipindi kile unahonga 10,000/= msambaa anaenda kukuletea change yako (5000) unamuuliza vipi anasema mbona raha tumepeana wote?

Masa, acha hiyo ya kurudishiwa chenji, mi nshampa mtu hiyo 10, akasema " jamani, hela zote hizi, si bora uende kwetu ukampe mama iwe ndio mahari yangu kabisa!!!!"
 
Yupo mtoto mmoja wa Kitanga ana sifa zote hizo kasoro bikra (nilishakula kama mara tatu siku za nyuma kidogo). Je, atakufaa?

Tafadhali jibu ili nikupe mawasiliano.

Mkuu naomba tender hiyo p'se ni PM tafadhali nipo tayari kwa kila kitu.
 
hehehe
we FIDEL inajua hii thread kaanzisha fiksiman? sasa kujitia kimbelembele kudaka tenda za watu inakuaje hapo?
enewei nadhani mkuu kashaija ukinielezea wasifu wa huyo binti inawezekana ni yuleyule niliyempitia last manthi, ila nitumie kwenye PM namba yake ili nioanishe kama ni yeye au la
 
Masa, acha hiyo ya kurudishiwa chenji, mi nshampa mtu hiyo 10, akasema " jamani, hela zote hizi, si bora uende kwetu ukampe mama iwe ndio mahari yangu kabisa!!!!"

duh!!!! KKN na wenzako wa chenji mna balaa... eti raha tumepeana wote.... ti hi hiihihiihihihiihihh
 
Sasa wadau mbona mnasema tuuu...mara ooh nenda tanga ooh lamu mara huyu zenji...mi nataka vitendo bwana kama yupo anayemfahamu mwenye sifa atoa mawasiliano hapa sio mnatia vijembe tu. Afu mi nashangaa akina msanii si tayari mmeshaoa sasa kitu gani???? Lete hizo taarifa kwani humu hakuna wanaJF wa Tanga ambao nahakika wanaweza kutatua tatizo langu. Mbona akina fulani wameshatangaza na ndoa wakiwa humu humu eeh muulizeni masanilo kama mi naongopa.

Naomba mawasiliano jamani, sifa mbona siko wazi tu. Ila mi sio mtu wa kuchimba choo kama wanavyotaka wafitini fulani nionekane....ile sifa ya makalio ni kwasababu napenda nikimuangalia huyo mtoto nione tofauti kati yake na yangu...vimiss mi sitaki.
 
Kaka njoo huku zenji ni wengi.karibu sana uwe shem wetu

Kaka fanya maarifa tafadhali...nimesikia habari za huko. Tena huko nataka awe wa kiaarabu pure hata kama sifa ya makalio hakuna nitaridhika tu...tia vitendo tuunge udugu chonde chonde...TUIMARISHE MUUNGANO WETU.
 
hehehe fiksimani bwana kiboko kweli.
hata ukimpata tunajua utataka na mwingine zaidi hivyo usiogope tunapopigana vikumbo humu. Unajua sisi wengine ndo tunaimarisha miungano na wake zetu kwa kufanya tathmini endelevu kuhusu ladha tofauti za ile kitu.

Ila bado haujashawishi humu kuhusu sifa ya makalio kuwa makubwa. lazima utakuwa mchimba TOPE wewe bila shaka, na hasa unaposema unataka binti la kiarabu pyua maana wale nasikia ile kitu kwao ni sunna (masheikh msinipopoe mawe pls). Lakini enewei natumaini utampata endapo utakuwa sugu zaidi.
hehehe
 
tena jamaa anaonekana ni muuzasamaki sana tu.
tembo akiangushwa hata vipofu wana haki ya kula nyama.... teh teh

hehehe huyu atakuwa analetewa wanaume hapo hapo nyumbani anaambiwa huyu ni mjomba au kaka ake bibi huyu...kumbe wanaume wanamaliza
 
Huyu fiksiman mwenyewe yuko sensitive kweli alafu anaonekana hapendi kuingia gahrama lol, yani ufunga safari kwenda kwenye eneo la tukio anaona hatari anataka atafuniwe yeye ameze tu.
 
Jamani, bikra kama sifa ya ziada, halafu awe mshiriki mzuri katika mechi zote za ndani.Atakuwa amejifunza wapi? mambo hayo hujifunzi kwa mdomo tuu, bali matendo
 
Duh! hyo tanga na watoto mh! si mchezo, so inamaana viburudisho kwa ajili ya walumendago hutoka tangaa? wao ndo wanatufaa enh! lakini wengi wanawataja kistarehe zaidi ni wachache wanatangaza ndoa why? hawa wapwani wana starehe sana kwa wabara siyo? mie ntaanza tafiti juu ya hili' kwani hamna hamna ndo mliwamo' kitangaa! nafkir miaka ijayo wengi watahamia huko ili kuwa na mvuto! enh! mie natoka tangaa! barabara ya 100, enh! mie nmezaliwa palee!!
 
Huyu fiksiman mwenyewe yuko sensitive kweli alafu anaonekana hapendi kuingia gahrama lol, yani ufunga safari kwenda kwenye eneo la tukio anaona hatari anataka atafuniwe yeye ameze tu.

SIO hivyo ndugu yangu mi nataka bibi watu wanaleta story asa kama wangeta si waende kwenye forums za kubwabwaja pale juu siasa, Hapa tunataka kitu roho inapenda bwana. Suala la kwenda Tanga jamani si la kukurupuka waswahili husema "Kabla hujaenda kwa jirani yako sharti utokee kwako" sasa mi ntaendaje kwa jirani bila kutokea kwangu eeh maana ukifika maeneo yale unapokelewa na jirani yako si atakuwa ajua ulipotoka. kisha ndo waomba chumvi ati.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom