JOHN THE CASSIDY
New Member
- Jan 5, 2012
- 3
- 0
Kuna mtoto alipandishwa basi la kwenda mbeya na mama yake na kufungishiwa maandazi kwenye mfuko,gari likaondoka na dogo alikuwa amelala baadaye akashtuka akauliza"konda tumefika wapi?"konda akamjibu"bado vituo viwili tufike mbeya"dogo akasema"konda umenipitisha morogoro"abiria wote wakafoka"dogo arudishwe,dogo arudishwe"basi likageuzwa mpaka morogoro konda akasema"haya dogo morogoro ndo hapa"dogo akajibu"HAYA SASA TUNAWEZA KWENDA MAANA MAMA ALINIAMBIA NIKIFIKA MOROGORO NIANZE KULA MAANDAZI"