Mtoto ndani basi

Kama Tz tukifikia hatua ya kufuata sheria za kumrudisha kituo alichopitishwa abiria ni hatua nzuri
 
Kama Tz tukifikia hatua ya kufuata sheria za kumrudisha kituo alichopitishwa abiria ni hatua nzuri



Hiyo itakuwa ilitokea miaka ya sabini mwanzoni. Enzi hizo ukidondosha pesa mtu anaokota na kukuita uchukue hela yako.
Siku hizi toto linashushwa na kufaulishwa kwenye bus linaloelekea moro/ dar... Jamaa wanaambiwa,
"tunaomba mtushushie moro huyu dogo tumempitiliza". Kama dogo IQ yake mdondo asishtukie anavyouzwa,itakuwa imekula kwake vibaya!
 
kaka umeitocopy hiyo create ur own unapenda vitu vya kupewa yani pewa pewa ................................
 
Back
Top Bottom