Mtoto ndani basi

JOHN THE CASSIDY

New Member
Jan 5, 2012
3
0
Kuna mtoto alipandishwa basi la kwenda mbeya na mama yake na kufungishiwa maandazi kwenye mfuko,gari likaondoka na dogo alikuwa amelala baadaye akashtuka akauliza"konda tumefika wapi?"konda akamjibu"bado vituo viwili tufike mbeya"dogo akasema"konda umenipitisha morogoro"abiria wote wakafoka"dogo arudishwe,dogo arudishwe"basi likageuzwa mpaka morogoro konda akasema"haya dogo morogoro ndo hapa"dogo akajibu"HAYA SASA TUNAWEZA KWENDA MAANA MAMA ALINIAMBIA NIKIFIKA MOROGORO NIANZE KULA MAANDAZI"
 
Teh teeeeeehhh .Maweeeeeeeeeeee...thasa thasa dogo ndo nini jamani unaunguza mafuta na muda wa watu jamani eeeeh.
 
Dogo ! Dogo ! Dogooo!
Unaweza ukatamani ukameze.
Afu kenyewe hakahisi kitu kanafungua 'rambo, ' kanatoa maandazi na juisi ya azam na kuanza kula.
 
Back
Top Bottom