Mtoto azua tafrani(true story)!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Katika sherehe moja baada ya mnyama mbuzi kuchinjwa,jamaa walichukua korodani zake na kuanza kuziandaa kwa ajili ya kuzila.Katikati ya maandalizi mara akaja mtoto mmoja,akidhani kwamba yale ni mayai naye akataka apewe.Jamaa wakamwambia live kwamba yale si mayai bali ni map*mbu.Dogo akasema hata kama si mayai atakula hivyo hivyo.Jamaa wakayala map*mbu yote peke yao,wakamnyima yule mtoto.Yule mtoto baada ya kukosa ile bidhaa,akaangua bonge la kilio huku akimkimbilia mama yake aliyekuwa akichambua mchele na akina mama wengine.Mama yake alipohoji sababu ya kilio ni nini?,mtoto akajibu kwa uchungu;"akina john wamekula map*mbu yangu yote peke yao!".
 
Kwi kwi kwi. Halafu mama akajibuke?
<br />
<br />
Mama alichofanya ni kuweka ungo wa mchele chini na kwenda kumchungulia mwanae ndani ya bukta ili kuhakiki kama kweli hazipo halafu akabaki amepigwa na butwaa!
 
Hiii balaa hapo napiga picha jinsi wamama walivyoziba midomo kwa mshangao na mshtuko teh teh teh
 
Hio inafana na Jairo na Luhanjo na hao wanaowatuma...hahahaaaa afadhali nimepunguza stress
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom