Mtoto aishi na mama yake mzazi kinyumba miaka 10

Kazi iPo babu..

Karibu sana afrodenzi na upunguze kupotea..sawa AD??

Kuna mambo ambayo wanaume karibia wanaume wote tunayakubali kwamba katika umri wowote yanaweza kukutokea na kwa kweli hutokea.

1. Kama mama yako ni mzuri sana... kwa ndani utajua na hata unaweza kukiri kwa maneno ila itaishia hapo. Kwa ndugu wengine wa karibu ni vile vile.
2. Ikitokea mama mzazi au ndugu wa karibu kama dada au mwanao akakukalia uchi kwa bahati mbaya na ukaona....biologja inaweza kugonga kengele ila nguvu hukatika mara moja unapostuka kuwa uliyemchungulia ni mama yako mzazi au ndugu wa karibu....Na kama akiendelea kukaa vibaya...utafanya kila njia usiendelee kumwangalia kwa sababu mwisho wake utahisi aibu sana! Huwezi kuendelea kuwa katika hali ya kusisimka kwani nguvu zitakuisha.
3. Kama ukipata bahati mbaya ya kuwasikia baba na mama yako mzazi wanafanya tendo la ndoa, utahisi hasira sana (na biolojia inaweza kuathirika pia ila itakuwa ni kwa muda mfupi sana). Na ikitokea mara nyingi unaweza kumchukia baba au wote wawili.
4. Na ukimfumania mama yako na mwanamume mwingine, unaweza kufanya jambo la ajabu sana. Wengine hufikia hatua ya kuua...!!

Sasa kwenye hili tukio, nashindwa kuelewa ni kwa jinsi gani huyo kijana aliweza kumudu kuwa na libido ya kutosha kwa miaka 10 huku akili yake ikijua kwamba anayefanya naye ndono ni mama mzazi!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Msomi Sigmund Freud aliyaona haya. Katika ukuaji wa mtoto hufika kipindi akawa na matamanio ya kingono na mzazi wa opposite sex. Yaani kuna wakati mtoto wa kiume kwa mfano, ataanza kuona kama babake anafaidi na kumtamani mama yake kingono. Hali kadhalika mtoto wa kike ataonesha mapenzi zaidi kwa baba, yote hii ikiwa ni katika kutaka kufaidi zaidi.

Mie nina umri wa mtu mzima na namshangaa huyo mama mze
e aliyediriki kulala na mwanae. Eh wazee tunakwenda wapi jamani? Twataka tufe namna gani jamani, jamani?Sikumbuki popote ambapo Sigmund Freud alisema bibi kizee anaweza kuvutiwa na mwanae wa kumzaa. Kamwe! Huu ni unyama,wazimu, ugonjwa, wehu, na mengine mengi yafananayo na hayo. Nina shawishika kuamini kuwa mama ndo alimshawishi mwanaye na si kinyume chake! Tumezoea kulaumu dot.com generation(vijana), je huyu mama ni dot.com generation? Aibuuu, aibu sana kwetu sisi wamama. Amelaaniwa mama yeyote amshawishiye au amtamaniye kimapenzi mwanaye wa kumzaa. Na afungwe jiwe zito shingoni akatoswe baharini ili hata vitukuu vyake wasipate historia yake. Naona aibu utafikiri ni mimi!
 
Mimi nimepapenda hapo kwenye RED, hongera sana my dear.
Kuhusu mada, mimi sidhani kama ilitokea kimapenzi ya kawaida, kuwa kila mtu alivutiwa na mwenzake kwa hali ya kawaida.... huko vijijini mambo ya ushirikina yapo....... nahisi huyo mama alimpenda sana kijana wake akaamua amloge ili asipende mdada mwingine na awe naye yeye tu

Karibu sana FP,

Nafurahi sana kuona wazazi wakichangia kwani hapa hisia za mzazi haziwezi kukuacha unaposikia hii kitu.

Ila story inasema kuwa dogo alikuwa na mke na watoto wawili...hata hivyo mwanamke aliamua kumwacha kwa sababu ya hili tukio la aibu.

Babu DC!!
 
Babu DC, naomba hapa nieleze experience yangu mwenyewe.

Binafsi nina vidume 4 ambavyo mkubwa kabisa ni 15 yrs na mdogo ni miez 6 ivi. nilichokishuhudia na ambacho naendelea kukishuhudia kwangu ni kwamba watoto hawa walipokuwa wadogo walikuwa karibu sana na mim hasa Klein na Gson yaani ilikuwa hadi kulala lazima nilale nao na kuoga ilikuwa wanapenda zaid niwaogeshe mimi mwenyewe. ukaribu huu ulizidi sana hadi baba yao akapata wivu lakin haikuwa kazi rahisi kuondoa ukaribu huu. klein alipofika miaka 12 nilishangaa sana yeye mwenyewe alianza kuwa mwoga sana kwangu nikaona kuna distance tu imeibuka btn us. this time akarudi kuwa karibu sana na baba hadi leo.

.......
tena huyu wa miaka 9 hata kuogeshwa na mimi hatak zaid sana atamuomba kaka yake amuogeshe ama ataoga mwenyewe. distance iliyopo kati yetu imenifanya hata kupenda kuingia vyumban mwao niwe siko huru sana nikitaka kuingia lazima niwaambie na niingie nao ukiniuliza kwanin nafanya hivyo sijui ila najiona tu siko huru hata kuona nguo ya ndani ya mwanangu tena mtoto niliye mzaa mimi mwenyewe..........
hii ni natural!! mtoto wa kiume at 12+ hatajipendekeza na kukaa karibu na mama, italeta picha ya 'mtoto wa mama' na sio sifa nzuri. atakaa na wenzie ili ajifunze traits za wanaume like michezo, ujasiri, other guy stuff
 
Kuna kijana mmoja kijijini kwetu hivi tunavyoongea anaishi kinyumba na shangazi yake kwa zaidi ya mwaka sasa. Wazee wamepiga kelele imeshindikana..! Hakuna ushirikina wala nini.

Nadhani hayo yanatokea mara moja moja kwenye jamaa ila tukio la mama na mtoto wake wa kumzaa ni la kipekee kabisa!!

Binafsi na umri huu sijawahi kusikia...labda tetesi za mtu kufanya ngono na mama yake ila siyo kuishi kama mume na mke tena kwa muongo mmoja mzima!! Kama mama angekuwa bado na uwezo wa kuzaa, wangekuwa na mtoto wa darasa la 4 au 5....Hapa siyo bure ndugu yangu!!

Babu DC!!
 
Karibu sana afrodenzi na upunguze kupotea..sawa AD??

Kuna mambo ambayo wanaume karibia wanaume wote tunayakubali kwamba katika umri wowote yanaweza kukutokea na kwa kweli hutokea.

1. Kama mama yako ni mzuri sana... kwa ndani utajua na hata unaweza kukiri kwa maneno ila itaishia hapo. Kwa ndugu wengine wa karibu ni vile vile.
2. Ikitokea mama mzazi au ndugu wa karibu kama dada au mwanao akakukalia uchi kwa bahati mbaya na ukaona....biologja inaweza kugonga kengele ila nguvu hukatika mara moja unapostuka kuwa uliyemchungulia ni mama yako mzazi au ndugu wa karibu....Na kama akiendelea kukaa vibaya...utafanya kila njia usiendelee kumwangalia kwa sababu mwisho wake utahisi aibu sana! Huwezi kuendelea kuwa katika hali ya kusisimka kwani nguvu zitakuisha.
3. Kama ukipata bahati mbaya ya kuwasikia baba na mama yako mzazi wanafanya tendo la ndoa, utahisi hasira sana (na biolojia inaweza kuathirika pia ila itakuwa ni kwa muda mfupi sana). Na ikitokea mara nyingi unaweza kumchukia baba au wote wawili.
4. Na ukimfumania mama yako na mwanamume mwingine, unaweza kufanya jambo la ajabu sana. Wengine hufikia hatua ya kuua...!!

Sasa kwenye hili tukio, nashindwa kuelewa ni kwa jinsi gani huyo kijana aliweza kumudu kuwa na libido ya kutosha kwa miaka 10 huku akili yake ikijua kwamba anayefanya naye ndono ni mama mzazi!!

Babu DC!!
You never know babu
Labda mamake alimuharibu tangu alivyokuwa
Mdogo . Na jamaa akaharibika Kabisa kichwani
Sasa Haoni Kama Hilo ni kosa kwake yeye ni sawa.
 
Last edited by a moderator:
Mie nina umri wa mtu mzima na namshangaa huyo mama mze
e aliyediriki kulala na mwanae. Eh wazee tunakwenda wapi jamani? Twataka tufe namna gani jamani, jamani?Sikumbuki popote ambapo Sigmund Freud alisema bibi kizee anaweza kuvutiwa na mwanae wa kumzaa. Kamwe! Huu ni unyama,wazimu, ugonjwa, wehu, na mengine mengi yafananayo na hayo. Nina shawishika kuamini kuwa mama ndo alimshawishi mwanaye na si kinyume chake! Tumezoea kulaumu dot.com generation(vijana), je huyu mama ni dot.com generation? Aibuuu, aibu sana kwetu sisi wamama. Amelaaniwa mama yeyote amshawishiye au amtamaniye kimapenzi mwanaye wa kumzaa. Na afungwe jiwe zito shingoni akatoswe baharini ili hata vitukuu vyake wasipate historia yake. Naona aibu utafikiri ni mimi!

Umekuwa biased sana ndugu.

Umetumia kigezo gani kuhitimisha kuwa mama ndiye aliyelazimisha mahusiano??

Halafu unadhani kajana hakuwa na sound mind kwa miaka yote 10??

Babu DC!!
 
You never know babu
Labda mamake alimuharibu tangu alivyokuwa
Mdogo . Na jamaa akaharibika Kabisa kichwani
Sasa Haoni Kama Hilo ni kosa kwake yeye ni sawa.

Inawezekana AD,

Ila sie watu wa pembeni hatuwezi kuacha kushangaa.....

Hata hivyo, kijana katoa ushuhuda kuwa alikuwa anatokwa na udenda kila anapomwona mother.....Smelling evil, isn't it??

Babu DC!!
 
Karibu sana FP,

Nafurahi sana kuona wazazi wakichangia kwani hapa hisia za mzazi haziwezi kukuacha unaposikia hii kitu.

Ila story inasema kuwa dogo alikuwa na mke na watoto wawili...hata hivyo mwanamke aliamua kumwacha kwa sababu ya hili tukio la aibu.

Babu DC!!
mimi naamini huyo mke aliamua kukimbia baada ya kuona penzi limehama, limehamia kwa mama. na hatuwezi jua uhusiano wake na mama mkwe, ndo ninaposema, labda mama mkwe aliona mke wa mwanae anafaidi sana kwa hiyo akaamua kumfanyia hivyo ili awe wake milele.
Ni vizuri wamama/wababa kuwapenda sana watoto wetu, lakini haya mambo ya kufikia kuwa hupendi kuona mwanao anampenda mwanamke mwingine hayafai. na ndo maana mara nyingi kunakuwa na kutoelewana kati ya mama mkwe na mke, ni sababu ya kugombea mapenzi ya mwana, sasa hapo mbabe ndo atashinda
 
Sijakuelewa bado dada yangu FP,

Unaongelea kugombea penzi kwa maana ya upendo (motherly love) au penzi kwa maana ya kutungua tunda??

kwa wote wawili sikuwa na maana ya tunda, nilikuwa na maana ya upendo. ila sasa unatokea ukimpenda mtu unakuwa na wivu fulani kwa huyo mtu, awe mama, dada, kaka, mwanao, yaani siyo kama unataka kulala naye ila unampenda tu na unahisi kama hakuna mwingine anaweza kumpenda kuliko unavyompenda wewe
 
Dark City nadhani hii mada ishawahi kupita hapa..
Any ways ngoja niseme tena kama nilicyosema siku ile..Kiukweli akili ya kawaida inagoma kabisa kuamini kama mwanadamu anaweza kutembea na mama yake mzazi achilia mbali kuoana kwa miaka isiyopungua kumi. Halaf aseme anampenda mkewe kufa na mama aseme anampenda mumewe kufa..haingii akilini.

Kama akili ya kawaida haikubali kufikiri hivi nahisi hawa wenzetu hawako nasi kwenye ulimwengu tunamofikiri sisi. Ukimuangalia Freud Sigmund haongelei hawa..manake hii ni extreme case..na haiwezekani ukatoa theory ambayo inaaply kwenye case moja au mbili tu. Ninachokiona ni 'ushrikina' tu ambao umewajaa hawa. Kama ukiwasikiliza kwenye mahojiano ndio utaona huu ukweli.
 
Hapo nimekuelewa dada yangu Fixed Point,

Hilo linatokea sana ndiyo maana watu wanaamini kwamba mtoto kwa mama hakui, anabakia kuwa mwanangu (this little boy, my cute sone) hata akiwa na mvi za ukubwani....Na pia mahali pengine wanaamini kuwa siku mama akifa ndo umeacha kunyonya (you get weaned)!!

Hayo ni kawaida na hatuwezi kushngaa. Shida ni hawa ambao wameamua kuwa kama ng'ombe, mbuzi au nguruwe.. Ukizingatia kuna baadhi ya wanyama wa porini wanatumia scent detectors kukwepa mtoto kumpanda mama yake!!

Ila hawa wamepitiliza viwango vyote vya human imagination!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Dark City nadhani hii mada ishawahi kupita hapa..
Any ways ngoja niseme tena kama nilicyosema siku ile..Kiukweli akili ya kawaida inagoma kabisa kuamini kama mwanadamu anaweza kutembea na mama yake mzazi achilia mbali kuoana kwa miaka isiyopungua kumi. Halaf aseme anampenda mkewe kufa na mama aseme anampenda mumewe kufa..haingii akilini.

Kama akili ya kawaida haikubali kufikiri hivi nahisi hawa wenzetu hawako nasi kwenye ulimwengu tunamofikiri sisi. Ukimuangalia Freud Sigmund haongelei hawa..manake hii ni extreme case..na haiwezekani ukatoa theory ambayo inaaply kwenye case moja au mbili tu. Ninachokiona ni 'ushrikina' tu ambao umewajaa hawa. Kama ukiwasikiliza kwenye mahojiano ndio utaona huu ukweli.

Ahsante sana mkuu,

Kama ilishajandiliwa, nitaomba mods waziunganishe. Ngoja niisake kwanza.

Suala la uchawi ni rahisi kueleweka kwa watu tulio wengi!

Babu DC

Updates,

Nimeiona thread ya mkuu Fidel,

HII HAPA

Nimeomba Mods waziunganishe.

Ahsanteni sana SnowBall na Kiranga kwa taarifa!
 
Alikuwa amelewa pombe kwa miaka 10?
Halafu mama anaonekana mzee mno sijui how
did they do it?

Wewe Paw unadhani wameacha? Wenzio bado wanaendelea!

Naomba muunganishe thread yangu na hii hapa ila baadhi ya details mnaweza kuziweka kwenye post ya kwanza!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Paw
ha haaaaaaaaaaaa, yaani wewe kumbe ni mdau mzuri wa magezi ya udaku, mpaka unajua waandishi wake?
kwa maana hiyo rafiki husomagi kabisa mwananchi?

Yaani magazeti ya udaku nilisha achana nayo tokea enzi nza udaku...lakini huyu Joyce Joliga ni shangazi yangu mdogo wake na mke wa mjomba wangu...mara ya mwisho kuonana naye alikuwa akifanya kazi Global Publishers kwenye magazeti ya udaku...Sasa nashangaa lini amehamia kwenye gazeti la mwananchi.
 
Back
Top Bottom