Mtoto aishi na mama yake mzazi kinyumba miaka 10

Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,947
4,444
Joseph Mapunda mwenye umuri wa miaka 40 amesema ameweza kuishi kindoa na Mama yake Mzazi Condorada Ngonyani 70 baada ya yeye kukubaliana wenyewe yeye na mama yake mzazi kuishi kindoa kama mume na mke alipo ulizwa Mama alikiri kuwa kweli wameishi kindoa kwa miaka 10 na anampenda Mume wake ambaye ni Mtoto wake Joseph Mapunda.
Na Godso Kileo
Source; Mjengwa Blog::Habari,Picha,Matangazo
 
Hiyo dhambi siyo kwa watu kusini tu. Kwa kweli imezuka katika sehemu nyingi hapa Tanzania kwa kina mama kuishi kindoa na watoto wao wa kuzaliwa. Mwenyezi Mungu atuepushe na baa hilo.
 
Halafu tunalalamika maisha magumu..laana kama hizi mungu hata milango ya riski anaifunga
 
Kweli ni Wangoni maana nasikia bora umpe PESA atafikisha lakini si mkeo, sijasikia Mikoa mingine wana tamaa za kimwili namna hii, hebu waangalie mama namtoto wapi na wapi hata hailipi wala kusimama
 
duh! jamaa lina roho ngumu...sasa sijui nani aliyemtongoza mwenzie, naona wametumia maneno ya kidiplomasia eti "walikubaliana"...khaaa!!
 
Kwa mwendo huu, maafa na magonjwa ya kutisha hayatakwisha duniani maana Mungu anaonyesha hasira zake kwa mwanadamu kutokana na matendo machafu kama haya.
 
Back
Top Bottom