mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,730
Wana JF leo nimemskia rafiki sana wa karibu wa Mch Mtikila kuwa anajiandaa kufungua kesi ya kikatiba ya kumshtaki mh Lusinde(mb) kwa kuwa ametamka yeye Mwenyewe kuwa ni Kichaa wa kuzaliwa na katiba ya Tanzania haimpi nafasi kichaa kugombea nafasi ya Uongozi na pia ni Hatari Mtu kichaa kutunga sheria,tayarindalizi ya kumshtaki yanaandaliwa na wanakusanya vielelezo.
Nikiripoti kutoka eneo la tukio ni mimi Mgosi Mgeni wenu wa JF
Nikiripoti kutoka eneo la tukio ni mimi Mgosi Mgeni wenu wa JF