Ellyson
JF-Expert Member
- Nov 13, 2010
- 1,714
- 405
Umeonaee majambazi yanatekenyana na kucheka yenyeweKumbe source ni tbccm aka tbcmagamba...nilidhani labda ni itv au chanel 10 kumbe ni hao hao magambaz

Huyu jamaa na mwenzake amesema mwenyewe kuwa wameamua kukipa talaka chama cha chadema jana na kukisusa kwan kinaendeshwa kama kampuni binafsi kwan wamekuwa hawashirikishwi katika maamzi,wanashangaa chadema kususa bunge la katiba wakati hiyo ilikuwa ni ajenda yao 2010 kwenye ilani.
source: tbc television
Lets be honest guys do we call this news and one lunatic guy is briniging it to this forum for a debate ?
jibuni hoja zilizotolewa kwenye waraka msikwepe hoja kwa kushambulia watu binafsi? Mbona cdm mnajifanya watakatifu sana kumbe ni wanafiki wakubwa? Dawa yenu inachemka na mtaona mavuno yenu katika uchaguzi wa des 2014 na okt 2015
Huyo anaitwa Bwana Lameck Lubote namfahamu sana kwenye siasa zetu za Dodoma, hakuwa katibu wa Chadema jimbo la Mtera kama ambavyo ametambulishwa, Muda wake wa kukaa madarakani uliisha na kwa kuwa alikuwa amepaga kuhujumu chama na intelijensia ya Chama ilishajua ulimuweka benchi kujihususha na shughuli za chama toka muda mrefu na Uchaguzi wa Jimbo la Mtera ulisimamishwa, alihusika kuhujumu uchaguzi wa Kata ya Mpwayungu huwa anahongwa hela za bia la Lucinde, si mtu makini anaongozwa na njaa zake. Ni Kazi ya CCM kujiokoteza makapi chini ya meza ya Chadema.
umenifanya nichekeHa ha ha kuna mwanafunzi wangu mmoja hapa chuoni anatoka Rombo kaniambia hizi habari furaha niliyokuwa nayo nikahairisha test nikondoka nae kupata soda
umenifanya nicheke
Huyo anaitwa Bwana Lameck Lubote namfahamu sana kwenye siasa zetu za Dodoma, hakuwa katibu wa Chadema jimbo la Mtera kama ambavyo ametambulishwa, Muda wake wa kukaa madarakani uliisha na kwa kuwa alikuwa amepaga kuhujumu chama na intelijensia ya Chama ilishajua ulimuweka benchi kujihususha na shughuli za chama toka muda mrefu na Uchaguzi wa Jimbo la Mtera ulisimamishwa, alihusika kuhujumu uchaguzi wa Kata ya Mpwayungu huwa anahongwa hela za bia la Lucinde, si mtu makini anaongozwa na njaa zake. Ni Kazi ya CCM kujiokoteza makapi chini ya meza ya Chadema.
Hii habar ipo pia katika gazeti la Habari leo , kasome