Ni mtendaji wa ikulu kwa jina Mbena Malumbi anafanya kufuru huko Morogoro maeneo ya Bigwa katika barabara ya zamani ya Dar-Moro kutokea mjini Moro.
Yasemwayo na wananchi wa huko ni kuwa watu wananunuliwa kwa hela yoyote ile unataja wewe wakitaka eneo lako na kukuhamisha hata kama una makazi tayari.
Washajenga hotel kando ya mto inaitwa Chilakale resort na live band yao ni hali ya juu sana.
Pia kuna ujenzi unaendelea kando ya huo mto mpaka kwenye milima ya Uluguru majengo yanainuka kama uyoga na wananchi wakizidi kununuliwa kila kukicha.
Niliuliza nani ndio mhusika wa haya yote anatajwa huyo mtendaji wa Ikulu.
Naomba kuuliza wanajamvi mwenye taarifa kuhusu huyu mtendaji wa Ikulu na utajiri wa kutisha kama huu kaupata wapi ama kuna watu nyuma yake.
Hifadhi ya mlima Uluguru karibia yote washaichukua kwa mida ya usiku unaona umeme ukiwaka mlimani wakati huku wengine kuna mgao.
Naomba tasaidiane mwenye taarifa rasmi kuhusu huyu afisa wa Ikulu atujuze.
Source ni mimi mwenyewe mkazi wa Moro. Naomba radhi kama sikufuata utaratibu wa uandishi.