Mtendaji wa Ikulu na ujenzi wa majumba huko Morogoro

Watanganyika bwana kwa kulalamika tu hatujambo.Wawekezaji wageni tabu, wawekezaji wa ndani nao tabu, si bora huyo hata kama kabaruza za miradi anawekeza kwenu kuliko wanaozikimbizia nje ya nchi?! Tena mwongezeeni maeneo mradi anawalipa fidia nzuri awekeze zaidi ataongeza japo ajira mbili hapo na tukodi tudogo manispaa.
 
tumblr_m875t4mMoG1rplnky.jpg


Morogoro, Tanzania. The house(s) on the hill. These buildings apparently belonged to the owner of the resort, who was supposedly related to the President.

tumblr_m8745lqM8W1rplnky.jpg

the Chilakale resort, Morogoro, Tanzania

tumblr_m875s5uvvb1rplnky.jpg

The view of the mountain from the resort's second story. As you can see with the construction, they were expanding the resort in August 2012
 
Basi atakuwa alushamaluza kazi ya umanamba aluyopewa. Sasa ili kumziba mdomo asije ropoka basi do it forever. Nakumbuka kuna member hapa alushasemea suala la Prince kupewa maeneo ya hiyo hifadhi na kuwa alikuwa amepanga kujenga hotels!!! connect the dots.
 
Acha wajenge wamebakiza miaka mitatu tu waondoke maana hawataiona tena Magogoni. Zaidi tutawahoji hizo mali walizipata wapi. Mwisho wao uu karibu.

miaka mitatu mbona wakiamua kuuza nchi ni mingi sana mkuu. bahati mbaya huwa hawarudishi hawa.
 
Na wewe pia umekurupuka au ndoa inakutia kiwewe..mbena wote wawili ni wafanyakazi wa ikulu mmoja yupo hazina kitengo cha ikulu ndiye aliyetwangwa risasi na ndiye mmiliki wa wa hayo majumba haramu huko morogoro mbena namba mbili ni msaidii wa Rais

Msamehee, wameshazoea kuwadanganya Watanzania. Kwao kudanganya ndio sera ya chama chao, hata uko kwenye Wilaya ya Mvomero anayoiongoza anawadanganya sana anaowaongoza!


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Sikubaliani na ufisadi wa aina yoyote ile lakini ni bora wanavyojenga hapa Tanzania na sio wale wanaoiba pesa na kwenda kufungua miradi nje ya Tanzania.

Huyu aliyejenga Tanzania atasaidia kwa mambo kadhaa:

Kwanza suala la ajira, watanzania watapata kuajiriwa katika hiyo miradi.
Pili suala la kodi natumai watalipa kodi hivyo kuwezesha Serikali kufanya mambo mbalimbali
Tatu hii itasaidia kuendeleza maeneo ambayo yamekua nyuma ki maendeleo
Nne suala la huduma za jamii huenda zikasogezwa karibu na maeneo hayo ya uwekezaji na hivyo waishio jirani na maeneo hayo watapata kufaidika na huduma hizo.

Kwa wale mafisadi wanaokimbiza pesa nje ya nchi ni balaa maana sisi watanzania hazitosaidia kwa njia yoyote ile.

Mwisho namalizia kwa kusema kuwa SIUNGI MKONO UFISADI WA AINA YOYOTE ILE
 
weka picha, me mkazi wa bigwa mwisho huo mjengo naufahamu. siyo wa kawaida na acheni kumbeza mtoa uzi sote tunafahamu gharama za ujenzi. GOT staff salararies zinafahamika . Ukijitahidi utajenga nyumba ya kuishi ya TSH 35m kwa miaka 15.
 
Itakawajenge mabanda ya samaki wangapi wazazi waowallikamata postkubwa nzuri tena nyerere alishakufa leo wanajazanafamilia watu kumi tabata nyumba Moja
 
Biblia aikudanganya mkuu Mema ya nchitunakuladuniani mbinguni maheaabu. Mqacje ale mema mkynbushe m n mtumishiwaMungu kama anawiwa kunibarikinambayangu no ileile mwishk 40 Tigopesa mpesa aeatelll Maney zote tunapokeakutendakziya Mungu
 
Back
Top Bottom