Mtela Mwampamba kuanika ukweli kuhusu Masalia na muasisi wa PM7 leo tar. 21-1-2013, EATV (Hot-Mix)

Wewe Mtela Mwampamba huna kitu kichwani zaidi ya majungu, ngoja tuandae vocha kwenye simu tukutwange maswali leo mpaka domo likutele.
 
Last edited by a moderator:
Wana jukwa,
Leo tar.21/01/2013 nitakuwa LIVE kwenye kipindi cha HOT-MIX channel 5(EATV) saa 11:00 jioni nitazungumza na Watanzania (Wanambozi) kuhusu mstakabali wangu wa kisiasa ndani ya CHADEMA.

Pia nitazungumzia kuenguliwa kwangu BAVICHA.

Pia nitawafumbua macho Watanzania kuhusu MASALIA na mwanzilishi wake,pia PM7 na mwanzilishi wake ndani ya CHADEMA.

Na mengine mengi yanayonihusu mimi na CHADEMA.

WENU KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA DHURUMA,UNAFIKI,UBAGUZI,UKABILA,UKANDA NA UBAKAJI WA DEMOKRASIA.


Nenda chama cha wanafiki wakubwa NCCR Mageuzi mimi mwenyewe wa Mbozi-Vwawa lakini nimekuchukia kwa matendo yako ndani ya chama
 
Ulisubiri nini siku zote usiongee kwenye vikao halali vya chama. Unatafuta huruma na kuonyesha utindio wa ubongo kwa kuegemea kwenye demokrasia.Kama ulijua waanzilishi wa vikundi hivyo.Ulishindwa nini kutoa taarifa kwa viongozi.Acha ushonga.Media zitakuoa!
 
safi sana kamanda tuko pamoko sana. Aluta continua

Usisahau kumwambia Mtela atuambie na kuhusu viapo vya masalia.

Pia mwambie kuwa CHADEMA tayari kuna vyuma ambavyo vinajiaandaa kubeba jimbo la mozi 2015 kwani yeye si tayari aliliuza kwa zambi wa maCCM.
 
i will watch ma tv. wana mbozi wana akili sana hivyo kama mbunge wao wanakuheshimu sana kwa michango yako, funguka vizuri.

sio wote kaka,mengine magalasa like this guy mwampamba and shonza. Kama wanaakili this was the chance to rid themselves from chadema,we dont want them,kama wanaonewa waende kwenye chama wanachoona kinafaa. I dont think kama kweli hawa wanaakili kwa sababu wameshaonyeshwa mlango wa kutokea wanasubiri nini kama siyo uchizi unawasumbua? Pathetic
 
Tumeshakuchoka huna lolote unatafuta Promo tu hapa.

Tunajua unataka kwenda NCCR ili ugombee Ubunge Mbozi 2015, kama mwenzako Kisandu(Lushoto) maana unajua CHADEMA hawatakusimamisha wala CCM hawatakusimamisha.

Ulishasema CHADEMA huipendi na CHADEMA ikasema haikutaki, sasa unang'ang'ania nini huko?
 
Jamani, hammalizi tu??? Mmmh, huu ukosefu wa hekima, visasi na kutafuta umaarufu kutatumaliza....

Mkuu munisijo, Kwa kiswahili cha hapa Mbozi tunasema "atakuja aje" Mwampamba atalazimika kulindwa anapopita mitaa ya Mlowo kwa wengi tuliumizwa kuutetea ubuge tulioamini kaporwa na magamba kumbe kazipiga bei kura zetu. "Mwampamba utakuja uje Mlowo kwa wajanja oohoo!"
 
Ushauri wa bure, chadema ishatukanwa sana na watu wakubwa kuliko ha ww! Na inazidi kupaa! Tafakali uwe na uhakika na hizo ngonjera zako za ukanda!
 
i will watch ma tv. wana mbozi wana akili sana hivyo kama mbunge wao wanakuheshimu sana kwa michango yako, funguka vizuri.

Wale wale, mwambie tu akufuate ulipo na kama mnadhani huo ndo umaarufu wenu mmechelewa; hilo litakuwa jeneza lenu wana_PM7 kisiasa, yetu macho.
 
Imekuchukuwa week ngapi kusema hicho unachokiita 'ukweli? Hata hivyo ningetaka kupata majibu ya maswali yafuatayo:

1. CHADEMA kina wanachama toka mikoa mingapi, na wanachama ni wa dini moja au zaidi ya moja, na pia wanatoka kabila moja au zaidi? Kama kuna wanachama zaidi ya kabila moja yataje makabila walau 7!

2. Wewe ni mjumbe wa PM7?

3. Ulijiunga lini na PM7, kwa sababu zipi? (regardless kongozi ni nani, wewe binafsi ulijiunga kwa sababu zipi?

4. Kwa maoni yako PM7 inajenga au kubomoa CHADEMA?

5. Nini nafasi yako PM7?
 
Mwalimu wa level gani mbona ana aibisha taaluma ya watu makini,yani ananunuliwa kwa vocha za simu,siamini

Huyu mtela ni kichwa nazi na degree yake ya ualimu isiyotumika kwani jamaa alikula fedha za kujikimu lakin shuleni hakuenda kufundisha, ukiwauliza watu wengi wanaomjua hasa wanafunzi wa DUCE watakwambia na anafahamika kwa jina la ganzi.
 
Eleza pia kwanini wewe hukutangazwa kuwa Mbunge wa Mbozi, najua wapiga kura walikuchagua, ilikuaje hukutangazwa? Zipo habari kua wewe pamoja na yule mwanasheria aliyegombea kule Mbeya vijijini mlichukua cha juu na pamoja na ushahidi kuonesha kua mlishinda lakini hamkuonesha hata dalili za kulalamika achilia mbali kwenda mahakamani, please na hili pia usisahau, mwisho, kuna zile pesa zilizotengwa na magamba kuchafua watu kupitia media, nahakika hili unalijua vizuir, usisahau kutwambia kama kipindi hiki nacho kipo kwenye bajeti ile (usinidanganye kua eti, mtangazaji ndio kakutafuta, cause hata Suleman Semonyo nae na kipindi chake cha dakika 45 inaonesha naye anapigiwa simu na mgao unapita tu aidha kwake au ITV yenyewe)
 
Wana jukwaa,
Leo tar.21/01/2013 nitakuwa LIVE kwenye kipindi cha HOT-MIX channel 5(EATV) saa 11:00 jioni nitazungumza na Watanzania (Wanambozi) kuhusu mstakabali wangu wa kisiasa ndani ya CHADEMA.

Pia nitazungumzia kuenguliwa kwangu BAVICHA.

Pia nitawafumbua macho Watanzania kuhusu MASALIA na mwanzilishi wake,pia PM7 na mwanzilishi wake ndani ya CHADEMA.

Na mengine mengi yanayonihusu mimi na CHADEMA.

WENU KATIKA MAPAMBANO DHIDI YA DHURUMA,UNAFIKI,UBAGUZI,UKABILA,UKANDA NA UBAKAJI WA DEMOKRASIA.


Dhuruma ndio kitu gani?
 
Back
Top Bottom