Mtela Mwampamba kuanika ukweli kuhusu Masalia na muasisi wa PM7 leo tar. 21-1-2013, EATV (Hot-Mix)

Hutasema jipya zaidi ya matusi kwa Dr Slaa!!! Adrian na wenzako mkiruhusu matusi mtatuchefua! Good thing IPP wana ethics hawataruhusu hilo we hope!
 
Imekuchukuwa week ngapi kusema hicho unachokiita 'ukweli? Hata hivyo ningetaka kupata majibu ya maswali yafuatayo:

1. CHADEMA kina wanachama toka mikoa mingapi, na wanachama ni wa dini moja au zaidi ya moja, na pia wanatoka kabila moja au zaidi? Kama kuna wanachama zaidi ya kabila moja yataje makabila walau 7!

2. Wewe ni mjumbe wa PM7?

3. Ulijiunga lini na PM7, kwa sababu zipi? (regardless kongozi ni nani, wewe binafsi ulijiunga kwa sababu zipi?

4. Kwa maoni yako PM7 inajenga au kubomoa CHADEMA?

5. Nini nafasi yako PM7?

Mkuu hawezi kukujibu haya maswali kwani upeo wake ni mdogo sana kuliko punje ya haradani.
 
Pia Mkuu, ebu hariri kidogo hiyo 'taarifa maalum' yako.

Wana saikolojia wana uwezo wa kujua tabia za mtu kwa kuangalia handwriting ya mtu, na hata typing!

Wewe ukiwa kama verified user, unayejulikana sana na unayeitwa kiongozi katika jamii, ukiandika taarifa maalum kama hiyo, jaribu kuihariri!

Vinginevyo hizo errors nyingi zinaweza zikakuelezea wewe ni mtu wa aina gani kabla hata hujaongea hiyo saa 11!!

Siyo siri nilikuwa nakusikia tu lakini kwa mwandiko wako huo tu, hasa inapokuwa ni taarifa maalum, tena ukiwa verified user, nimeshakuweka katika level fulani tayari!

Kwanini watu wanamkubali Ben Saanane kwa mfano hapa jukwaani - the guy is smart tangu katika kuandika. Hata watu kama akina Mzee Mwanakijiji, Pasco, Tumaini Makene, n.k, wanaandika vizuri ndiyo maana kiasi fulani wanaonekana wana upeo mkubwa!

So please, hariri kazi yako na next time uwe makini unapokuja kama verified user, HASA UNAPOJIITA LEADER!

Haya angalia hapo 'wana-jukwa' paweke sawa.

Twende tena hapo kwenye neno 'mstakabali' sahihisha.

Majina ya mahali, watu n.k unatakiwa kuanza kwa herufi kubwa mfano Mbozi, Tanzania, Chadema au CHADEMA kama ulivyoandika BAVICHA

Right? Ok. MASALI ni nini? Sahihisha

What is dhuruma?
Shughulikia kwanza hayo ...na mengine.

Acha sisi tusiojulikana tuandike ovyo, siyo wewe unayejitambulisha kama kiongozi makini!

Thanks
 
ulishindwa kueleza hapa ambapo hawakulimit mda utaweza kule ambapo utaongea dakika 20?. nakuonea huruma sana. cha msingi usimuharibie Adrian Stepp kipindi chake. mia
 
Last edited by a moderator:
Hata mpite kwa channel zote za habari, but masalia mmeipaka CDM matope na watakaowasikiliza ni wale waliowatuma!!
nawahakikishia chadema hayo mawazo yenu ya kwamba watu flani tu ndo wenye fikra na wengine hawana akili kiasi cha kutowasikiliza na kuwahamasisha watu wengine wasiwasikilize ndicho kitakachowatafuna
 
Nenda chama cha wanafiki wakubwa NCCR Mageuzi mimi mwenyewe wa Mbozi-Vwawa lakini nimekuchukia kwa matendo yako ndani ya chama

Mkuu Umkondo wa Swize, huyu Mwampamba anatutia hasira makusudi kwa vile analindwa na maccm! "Atakuja aje"
 
safi sana,speak out !
hii ndiyo CHADEMA lazima tuonyeshe demokrasia ya ukweli inavyotakiwa siyo kutishiana nyau ati mtatuvua uanachama....lazima patachimbika tuu.

Kama CCM imeshindwakujivua GAMBA jeCHADEMA nayo imeshindwa kujivua UKABILA,UKANDA na UDINI?
 
Tulitulia na story zenu za kidaku, naona mmeanza kutusumbua upya baada ya kuona mnazidi kufulia.!
 
Mkuu jamaa anajaribu kufanya kazi walioishindwa usalama wa taifa, polisi sasa ndo ije kuwa yeye mkulima wa viazi ndo ataiweza.?!

Poor him.

Mkuu Shardcole, tatizo la Mwampamba ni kujaribu kututia hasira makusudi watu wa Mbozi Mashariki, huku akijua kuwa tuliumizwa na polisiccm tukimtetea kuwa kadhurumiwa ubunge wake na Magamba kumbe amtuzunguka kwa kuzipeleka kura zetu kwenye soko la maccm.
 
Heh we bado unaiota CDM? Tulishakutimua usianze kujiuza kwenye vyombo vya Habari. Hamia CHAUMA.
 
Nenda huko na CHAUMMA yenu hamishi kutapatapa.Utakula Jeuri yako.
 
safi sana,speak out !
hii ndiyo CHADEMA lazima tuonyeshe demokrasia ya ukweli inavyotakiwa siyo kutishiana nyau ati mtatuvua uanachama....lazima patachimbika tuu.

Kama CCM imeshindwakujivua GAMBA jeCHADEMA nayo imeshindwa kujivua UKABILA,UKANDA na UDINI?

Tunasubiri kusikiliza uharo wa kikao cha Mikocheni na maelekezo ya akina Shigella, Nape, Mulugo na akina Mulugo. Mbona Chadema hakina mwanachama mwenye jina hilo?

Yule wakili wa chuo kikuu kakataa kuaibika kuchukua kesi yenu kwenda kupinga kuvuliwa kwenu uanachama kwa gharama za CCM Lumumba. Ungewashauri Lumbumba hizo gharama za wakili mlipwe kama mafao kwa kazi ya kipuuzi mliyoshindwa kuifanya kwa sababu ya upuuzi wenu na wapuuzi wa waliowatuma.
 
safi sana,speak out !
hii ndiyo CHADEMA lazima tuonyeshe demokrasia ya ukweli inavyotakiwa siyo kutishiana nyau ati mtatuvua uanachama....lazima patachimbika tuu.

Kama CCM imeshindwakujivua GAMBA jeCHADEMA nayo imeshindwa kujivua UKABILA,UKANDA na UDINI?

Acha kututafutia ban humu bana kama utatumia jembe kuchimba nasi tutachimba. Labda kama utatumia Masaburi yako!
 
Pia Mkuu, ebu hariri kidogo hiyo 'taarifa maalum' yako.

Wana saikolojia wanauwezo wa kujua tabia za mtu kwa kuangalia handwriting ya mtu, na hata typing!

Wewe ukiwa kama verified user, unayejulikana sana na unayeitwa kiongozi katika jamii, ukiandika taarifa maalum kama hiyo, jaribu kuihariri!

Vinginevyo hizo errors nyingi zinaweza zikakuelezea wewe ni mtu wa aina gani kabla hata hujaongea hiyo saa 11!!

Siyo siri nilikuwa nakusikia tu lakini kwa mwandiko wako huo tu, hasa inapokuwa ni taarifa maalum, tena ukiwa verified user, nimeshakuweka katika level fulani tayari!

Kwanini watu wanamkubali Ben Saanane kwa mfano hapa jukwaani - the guy is smart tangu katika kuandika. Hata watu kama akina Mzee Mwanakijiji, Pasco, Tumaini Makene, n.k, wanaandika vizuri ndiyo maana kiasi fulani wanaonekana wana upeo mkubwa!

So please, hariri kazi yako na next time uwe makini unapokuja kama verified user, HASA UNAPOJIITA LEADER!

Haya angalia hapo 'wana-jukwa' paweke sawa.

Twende tena hapo kwenye neno 'mstakabali' sahihisha.

Majina ya mahali, watu n.k unatakiwa kuanza kwa herufi kubwa mfano Mbozi, Tanzania, Chadema au CHADEMA kama ulivyoandika BAVICHA

Right? Ok. MASALI ni nini? Sahihisha

What is dhuruma?
Shughulikia kwanza hayo ...na mengine.

Acha sisi tusiojulikana tuandike ovyo, siyo wewe unayejitambulisha kama kiongozi makini!

Thanks

Wewe naona unataka kututoa kwenye mada,hiyo inahusiana na nini?!,hebu tuache wengine huwa tunapenda kupata pande zote mbili then tunabalance na kuchambua kisha tunapata ukweli,wewe unaenpenda kuamini ya upande mmoja tena wa rafiki zenu wakina Ben Saanane ishia hukohuko?!
 
Back
Top Bottom