Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,011
I can only laugh at wadanganyika.
Wakati nchi zengine zinafikiria kutumia sayansi na technolojia kurahisisha maisha yao, sisi bado tupo kwenye siasa za kibwege na kinara wa haya yote ni Magamba chini ya mswahili #1 (JK) na mashost wao Chademu. Tumefikia mahali kwamba hata wazee wamekosa uelekeo, badala ya kusisitiza mambo yaende kisayansi kwene utawala na kumanage rasilimali zetu sisi tunataka tugawane kazi based ukanda, udini, jinsia badala ya merits. then you know there is no hope.