Mtei yuko right - AN NUUR

Status
Not open for further replies.
I can only laugh at wadanganyika.
Wakati nchi zengine zinafikiria kutumia sayansi na technolojia kurahisisha maisha yao, sisi bado tupo kwenye siasa za kibwege na kinara wa haya yote ni Magamba chini ya mswahili #1 (JK) na mashost wao Chademu. Tumefikia mahali kwamba hata wazee wamekosa uelekeo, badala ya kusisitiza mambo yaende kisayansi kwene utawala na kumanage rasilimali zetu sisi tunataka tugawane kazi based ukanda, udini, jinsia badala ya merits. then you know there is no hope.
 
Sielewi kwanini ni uwiano wa dini tu ndio muhimu na ndio watu wanautaka au kuuhoji zaidi?

Vichaa tuu ndio wanaohoji dini na ukabila.. Mi nadhani kuna vitu ni lazima vingetokea tuu. kwa tanzania bara kwenye tume tumebalance kabisa ila zanzibar wamekuja dini moja tuu but it ain't a big deal. JK najua alibalance kwa kuangalia taasisi za wajumbe na si dini wala kabila..!
 
waislam siku zote wamekuwa wakisema hakuna uwiano ktk taasisi mbalimbali lakini wamekuwa wakijibiwa kuwa waache kulalamika kwa kuwa hawana elimu, sasa leo na wengine wameanza kulalamika, vp nao waache kulalamika, waende shule kwanza? teh teh teh teh teh te kwi kwi kwi kwi kwwaaaaa
 
Wanampongeza kwa.jambo lipi kama siyo unafiki tu. Hicho kigazeti huwa sikitofautishi na magazeti ya erick shigongo ya UWAZI na IJUMAA.

kama kweli mzee Mtei alitoa kauli hizo kwangu mimi amepotoka sana na tena hafai kuwa kiongozi wala kuwa mshauri wa viongozi. Hapa ndiyo nagundua how wise was Mwalimu kumtosa huyu bwana. Hatuhitaji ukristo wala uislam katika kutawala. Na wala ukabila au ukanda. Tunahitaji watu wenye uzalendo na hii nchi. Mimi si muislam lakini nina rafiki waislam and they are good friends. Hawa wazee wanapaswa kupumzika siasa wamezeeka. Mwalimu alishaonya mapema. Hatumchagui mtu kwa dini yake. Kwani anakwenda kusalisha? Tume iachwe ifanye kazi yake. Ikibodanga tuwahukumu.
 
Huo uwiano wanaoutaka(an nuur) hauwezekani kamwe. Haki gani hiyo ya uwiano madaktari sawa, wanajeshi sawa! haiwezekani hata kidogo. Tunataka watu wapewe nafasi kwa uwezo wao wala si kwa dini zao. Leo wanasema dini kesho watasema usawa wa makabila tutafika kweli?
Nasisitiza tuangalie uwezo wa mtu sio dini yake.
 
mlitaka jk amteuwe charles hilary na adam mwakanjuki na wanafamilia wao kama wajumbekutoka zanzibar ili kuleta uwiano wa kidini? hamna hoja mmejaa udini mtupu, rudini mjipange upya, kwa kwa kwa kwa kwa kwaaaa...
 
naamini kuna wakristo wengi jk angeweza kuwateuwa hata mara mbili ya idadi ya wajumbe wa tume ambao uwezo wao hauna shaka, na vile vile kuna waislamu wengi ambao wangeweza kuteuliwa hata marambili ya idadi hiyo, yaani hata kama zingehitajika tume mia moja, lakini anaesema dini isizingatiwe sidhani kama ni sahihi ni vyema kuchanganya na kuteuwa kila upande, sasa vp kuhusu zanzibar? angeiteua familia ya charles hilary ili at least awaridhishe wakristo?
 
Sielewi kwanini ni uwiano wa dini tu ndio muhimu na ndio watu wanautaka au kuuhoji zaidi?
Ukikosa taaluma na ujuzi kitu pekee rahisi kukimbilia na kukumbatia ni uwiano wa kidini. Ndio maana utawasikia watu wakilia..........huyu ni mwenzetu tunakuwa wote msikitini...kanisani.....kijiweni.........
 
DINI HAINA NAFASI KATIKA SHUGHULI ZA WATU KATIKA TAIFA LAO, DINI IWE TU NJIA YA KUWASILIANA NA MUUMBA WETU SI VINGINE, mtei is not right
 
wanamtukana mtei ndugu! labda haujaelew

wanasema alichosema ni sahihi na ndio wanachokisema kila siku

kuwa

kuwa na uwiano sawa wa dini hizi mbili kwa wafanyakazi serikalini kama vile

hazina
jeshini
madaktari
BOT
polisi

List goes on.......

Kichwa cha habari hicho ni kejeli...soma ndani uelewe

Mtei anatuletea matatizo

Haraka haraka utadhani wanamsifia Mtei kumbe wanalao jambo, kwa mwendo huu wa uwiano sawa mtakuja na sera ya idadi sawa ya waumini wa dini hizi 2, Ukristo an uislamu.
 
Mtei yupo sahihi kwa kauli yake aloitoa,hili nalo gazeti sasa la kupoteza muda kulisoma? lipolipo tuu
 
wanasema uwiano anaoutaka mtei usiishie kwenye tume tu uende mbali zaidi mpaka mawizarani, majeshini n.k. nadhani

Kwa hiyo pendekezo lako ni kuwa wafanyakazi wachaguliwe kwa kubalansisha dini zao na si kuwa na vigezo au?

Ile mada yako ya Lulu imepigwa ban sababu ya utoto wa namna hii hii. Jengeni shule kwanza, msome, muelimike halafu ndio muanze kujichanganya kwenye post zinazohitaji shule
 
mlitaka jk amteuwe charles hilary na adam mwakanjuki na wanafamilia wao kama wajumbekutoka zanzibar ili kuleta uwiano wa kidini? hamna hoja mmejaa udini mtupu, rudini mjipange upya, kwa kwa kwa kwa kwa kwaaaa...

Kuna uwiano mkubwa kati ya avatar yako na mawazo yako
 
Kwa hiyo pendekezo lako ni kuwa wafanyakazi wachaguliwe kwa kubalansisha dini zao na si kuwa na vigezo au?

Ile mada yako ya Lulu imepigwa ban sababu ya utoto wa namna hii hii. Jengeni shule kwanza, msome, muelimike halafu ndio muanze kujichanganya kwenye post zinazohitaji shule

shule?? Kumbe kila dini inajenga shule zake?? Na hizo zenu mlizojenga kama ndio walizosoma kina Lusinde Duh??
 
Status
Not open for further replies.
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom