Mtei yuko right - AN NUUR

Status
Not open for further replies.
Wanampongeza kwa.jambo lipi kama siyo unafiki tu. Hicho kigazeti huwa sikitofautishi na magazeti ya erick shigongo ya UWAZI na IJUMAA.
 
gazeti la kiislam la an-nuur katika hali ya kushangaza limeibuika na kuunga mkono kauli ya mwanasiasa mdini edwin mtei na kuwataka eti watanzania kumpongeza mzee huyo,hii nchi kama siielewielewi vile..



we unaona kichwa cha habari na content zinaendana?
 
Mkuki kwa nguruwe kwa binaadam mchungu!

Waislaam wameishi katika 83 /17 kwa muda mrefu sana, wanajuwa utamu wa mkuki.
 
Gazeti la kiislam la AN-NUUR katika hali ya kushangaza limeibuika na kuunga mkono kauli ya mwanasiasa mdini Edwin mtei na kuwataka eti watanzania kumpongeza mzee huyo,hii nchi kama siielewielewi vile..




wanamtukana mtei ndugu! labda haujaelew

wanasema alichosema ni sahihi na ndio wanachokisema kila siku

kuwa

kuwa na uwiano sawa wa dini hizi mbili kwa wafanyakazi serikalini kama vile

hazina
jeshini
madaktari
BOT
polisi

List goes on.......

Kichwa cha habari hicho ni kejeli...soma ndani uelewe

Mtei anatuletea matatizo
 
Mkuu mi nilisoma kichwa cha habari tu sikuweza kusoma hadi ndani! Je kilichoandikwa hapo juu na ndani vinaendana au ndani wameeleza vingine? Nafikiri umenipata ninachotaka kufahamu embu tuambie kidogo je ndani pia ndo walichoandika?
 
Hao ni wanafiki. LAKINI ukweli ni kwamba mtei yupo sawa! Uislam umetawala tume!
 
Mnalipa promo hilo lijarida uchwara

sio kulipa promo kaka!! bali lile gazeti limeenda shule hebu pata muda usome makala zake kama zile za kina omari msangi na wengineo utaelimika.vile vile kama soma magazeti mengine ya al-huda na kisiwa.
 
Katoeni maoni acheni mambo ya udini, hayatatufikisha popote zaidi ya kutugawa kama Taifa.
 
sio kulipa promo kaka!! bali lile gazeti limeenda shule hebu pata muda usome makala zake kama zile za kina omari msangi na wengineo utaelimika.vile vile kama soma magazeti mengine ya al-huda na kisiwa.
Al Nuur lumeenda shule? Basi hata Uwazi nalo limeenda shule.
 
Nadhani mtoa mada amesoma kichwa cha habari juu ya meza hajasoma contents ndani.
 
sio kulipa promo kaka!! bali lile gazeti limeenda shule hebu pata muda usome makala zake kama zile za kina omari msangi na wengineo utaelimika.vile vile kama soma magazeti mengine ya al-huda na kisiwa.

alahaula lakwataaa! Gazeti lililoenda shule linakuwa na sera ya kibaguzi?
Gazeti lililoenda shule linahamasisha chuki?
Gazeti lililoenda shule linahamasisha kuvunjika kwa umoja wa Watanzania?
Haki ya Mungu Bassaleh amewaharibu nyie wana
 
Mtei wewe umeona tume tu na maserikalini huko huoni.Umeanza mwenyewe unashindwa kumaliza wajibu sasa hao annur.Au wewe kwako udini ni tume tu fisi maji.Sipendi majitu yenye dhana ya kidini kama hichi kizee
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom