Huyu jamaa kafanana sura, sauti, kauli, na mtazamo na Lipumba. Ni mwanae au...
na mimi huwa majiuliza sauti ya Mheshimiwa Halima Mdee mbona inafanana mikwaruzo na ile ya Slaa au nayeye ni mtoto wake?
na mimi huwa majiuliza sauti ya Mheshimiwa Halima Mdee mbona inafanana mikwaruzo na ile ya Slaa au nayeye ni mtoto wake?
Ni kuigana tu. Kwanza sidhani kama lipumba ana mtoto.
Aongeapo ni mithili ya Lipumba, kwani mtatiro asili yake ni wapi?