Mtatiro ni mtoto wa Lipumba?

Status
Not open for further replies.

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Huyu jamaa kafanana sura, sauti, kauli, na mtazamo na Lipumba. Ni mwanae au...
 
Aongeapo ni mithili ya Lipumba, kwani mtatiro asili yake ni wapi?
 
Huyu jamaa kafanana sura, sauti, kauli, na mtazamo na Lipumba. Ni mwanae au...

na mimi huwa majiuliza sauti ya Mheshimiwa Halima Mdee mbona inafanana mikwaruzo na ile ya Slaa au nayeye ni mtoto wake?
 
Ha ha haa, inawezekana ni stail ya kupata umaarufu kwa kuiga sauti za wakubwa. lol
 
na mimi huwa majiuliza sauti ya Mheshimiwa Halima Mdee mbona inafanana mikwaruzo na ile ya Slaa au nayeye ni mtoto wake?

Mjepu, umemfanya huyu jamaa awe mdogo sn na hoja yake hii shallow ya ki-comedy
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom