Prof. Lipumba ni mwamba wa siasa za Tanzania

Mundamushimu

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
752
432
LIPUMBA MWAMBA SIASA ZA TANZANIA
Nisiwachoshe wadau picha inajieleza huyu hapa msomi mahiri na mwamba wa siasa upinzani wa kweli acha hawa wengine wanaropoka ovyoovyo tu.

Viva Lipumba, viva Tanzania.

1694542322692.jpg
 
Utamlinganisha Profesa Lipumba na takataka za viongozi wenu wote wa chadema, profesa Lipumba ana hekima, busara na maarifa ya uongozi katika nyanja mbalimbali.
Huyo Lipumba mkewe yuko huko huko Chadema dadake Magdalene 😂😂😂

Siri zote za Buguruni zinamfikia Mwamba wa Machame 😀😀🐼🌟🔥
 
LIPUMBA MWAMBA SIASA ZA TANZANIA
Nisiwachoshe wadau picha inajieleza huyu hapa msomi mahiri na mwamba wa siasa upinzani wa kweli acha hawa wengine wanaropoka ovyoovyo tu.

Viva Lipumba, viva Tanzania.

View attachment 2747218

Wewe utakuwa ni mchukuaji wa briefcase yake iliyo na msuwaki na taulo . Na vipi kuhusu lile godoro lake lingalipo kule Starhotel yake Buguruni ??
 
LIPUMBA MWAMBA SIASA ZA TANZANIA
Nisiwachoshe wadau picha inajieleza huyu hapa msomi mahiri na mwamba wa siasa upinzani wa kweli acha hawa wengine wanaropoka ovyoovyo tu.

Viva Lipumba, viva Tanzania.

View attachment 2747218
Mimi pia namkubali mzee ibrahim lipumba. Huyu ni nguli possitive critic. Nchi iko stable kwa mchango wake kwenye upinzani.
 
Back
Top Bottom