Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 234
Jukius Mtatiro, Naibu Katibu Mkuu wa CUF ametangaza maandamano hapa Dar ya kupinga kulipwa Dowans.
Kasema yataongozwa na Profesa, kuanzia Buguruni hadi Kidongo Chekundu ambako yatahutubiwa na viongozi wa kitaifa wa chama hicho.
yatafanyika tarehe 7 Februari na ameonya polisi kutoyazuia kwa hoja za kiintelijensia.
Chanzo ITV saa 2 usiku huu.