Mwazange
JF-Expert Member
- Nov 16, 2007
- 1,056
- 81
Tunashukuru sana mzee kifimbocheza....nimefuatilia na suala hilo lilishagusiwa na Pundit pia kuwa anayo ya kujieleza huyo aliyesema maneno hayo.....Hii hapa chini ni condolence na mgonjwa update?
Posted by Black Jesus: "... lakini wakati huo huo tujiulize jee na sisi watanzania hivi tunataka tuwe na maisha kama ya kimarekani ??inapokuja malezi na utamaduni? kwani ukiangalia hapakwetu TANZANIA sasa Tumesha poteza Muelekea wamila na desturi"
Mgonjwa yuko mahututi mnaanza kum lambast kwa kuiga Umarekani kumbe hana hata makosa yoyote. Tunajaribu kurekebisha rekodi za kupotosha zinazotundikwa humu wewe hata huelewi. Jaribu kufuatilia kinachosemwa!!!
Ok.....Attention back to mgonjwa sasa....Whats the update hadi sasa; Anything new???