Mtanzania apata ajali Michigan, Mahututi..

Status
Not open for further replies.
Kwa hiyo wewe hukubaliani na tabia ya kumsaidia mtu kuamka alipojikwaa na kumpa pole wakati huo huo unamkosoa kwa kushindwa kuangalia njia anayokwenda mpaka akajikwaa, sawa ?

Hebu acha ligi wewe....tuletee matokeo ya investigation yako?
 
Wakuu,

naandika hii nikiwa na moyo mzito sana kuhusu mwenzetu Ndalima Nzaro.
Nimetoka hospitali kumuona ndugu yetu na kwa kweli hali yake ni mbaya mno.

Evidently after the accident, massive haemorrhaging ensued resulting in irreversible damage to critical parts of the brain.Mbali na hayo, the impact of the accident caused major damage to the spinal code rendering him paralysed.

Personally I touched his body for some time and I was overcome by emotion realising how easyit is for us to be here one moment and in a flush be so far away that we cant reach each other.We are hanging in there but we are bracing ourselves for the unthinkable as we continue asking for your prayers.

There will be mini gathering of people at Maji's residence in Southfield where
more infor will be available.

Regards.
 
together in spirits
 
Mkutano utafanyika hapo hapo HOspitali saa 10:00 kwani watu wengi wanaelekea huko... Hii itakuwa ni badala ya Maji's residence.
 
Wakuu,

naandika hii nikiwa na moyo mzito sana kuhusu mwenzetu Ndalima Nzaro.
Nimetoka hospitali kumuona ndugu yetu na kwa kweli hali yake ni mbaya mno.

Evidently after the accident, massive haemorrhaging ensued resulting in irreversible damage to critical parts of the brain.Mbali na hayo, the impact of the accident caused major damage to the spinal code rendering him paralysed.

Personally I touched his body for some time and I was overcome by emotion realising how easyit is for us to be here one moment and in a flush be so far away that we cant reach each other.We are hanging in there but we are bracing ourselves for the unthinkable as we continue asking for your prayers.

There will be mini gathering of people at Maji's residence in Southfield where
more infor will be available.

Regards.

Mungu ampe uponyaji!kwa kweli God knows maana kwa hali ya kibinadamu ni ngumu sana ila kwa MUNGU yote yawezekana tukiamini!
Poleni sana!
 
Kwa kweli mwanaadamu hujafa hujaumbika. Unaishi mahali hutaki shari na mtu. Unafuata sheria zoote hata za barabarani lakini anatokea kenge mmoja anakuvurugia utaratibu wako woote wa maisha.
Ewe mola tunakuomba umpe nafuu ya haraka mwanakwetu...Aaaaamin!!
 
This is so sad and shoking,

I know this dude, very cool young man.

Son of ambassador Eva Nzaro,former Tanzanian High commisioner to Russia and India.

Mkuu Ab-titchaz hio leo ulipomuona huyo mwenzetu baada ya kufunguliwa kichwa na kucontrol bleeding, is he still in a deep coma au kuna dalili ya conciousness kurudi?

hiyo ya paralysis is very depressing indeed.

Tunawashukuru wote mliokuwa huko kwa kutupatia updates zake.

Namuombea mungu ampe afuweni mapema, ameen.
 
tunamuombea mwenyezi mungu mwenzetu apate kupona...hata kama ameumia namna gani ..mwenyzi mungu ndiye ajuaye siri ya maisha yetu....na mara nyingi amewasaidia wasio na matumaini kuishi....na wenye matumaini na afya tele pia huweza kuwaita kadiri ya utashi wake...

Tumwachie yeye uamuzi ....
 
May God hear our prayers for Ndally. Get well Ndally we are with u in prayers.

The whole Nzaro family we are with U in prayer.

Alumni Tambaza A-level '92.
 
May God hear our prayers for Ndally.

Alumni Tambaza A-level '92.

Kwa hiyo huyu Mtanzania mwenzetu ni mtu mzima basi, na sio huyo mtoto wa miaka 15 aliyekuwa anakimbizana na polisi kwenye benzi kama taarifa ya press ilivyo onyesha, au?

Manake watu humu walishaanza kulaumu swala la kuiga tabia/desturi za Kimarekani. Nikafikiri ni Mtanzania ndio alikuwa anakimbizana na polisi kwenye benzi. Kumbe yeye ni moja ya yale magari mengine mawili yaliyokuwa yamesimama kwenye traffic lights na kupigwa na hili benzi la mtoto wa miaka 15. Au ?
 
Habari ndio hiyo. Mtoto aliyekuwa akiendesha benz la boyfriend wa mama yake ndio alikuwa akikimbizana na polisi.
 
Habari ndio hiyo. Mtoto aliyekuwa akiendesha benz la boyfriend wa mama yake ndio alikuwa akikimbizana na polisi.

Ambae sio Mtanzania, au ? Hicho ndio nataka ku ascertain hicho.

Ni Mtanzania mwenzetu alikuwa innocent bystander kwenye traffic lights akagongwa na huyu mtoto aliyekuwa anakimbiza benzi, au ?

Na kama ni hivyo, basi ile posti ya kumshutumu huyu Mtanzania kwa kuiga tabia za Kimarekani inapotosha na ikemewe - na wote walioweka vi-thanks wakatoe!!!
 
Hii habari kweli inafaa kuwekwa hapa kwenye jukwaa la siasa?..Au pc yangu inamatazizo coz last time ilikuwa sehemu yake muafaka ya matangazo...
hizi pc zangu sometimes sizielewi naona zinataka kunigombanisha na ma mods..au?..

Mungu akujalie na upone haraka...amina

Huku tukiendelea na sala, lets concetrate on the powers of will to heal and do miracles.
Mambo Jambo had a point. JF needs to create specific slots za situation cama hii. Lets give it its due attention like Emergency. At the moment this is the rightful position.
TUKO PAMOJA KATIKA SALA.
 
Ambae sio Mtanzania, au ? Hicho ndio nataka ku ascertain hicho.

Ni Mtanzania mwenzetu alikuwa innocent bystander kwenye traffic lights akagongwa na huyu mtoto aliyekuwa anakimbiza benzi, au ?

Na kama ni hivyo, basi ile posti ya kumshutumu huyu Mtanzania kwa kuiga tabia za Kimarekani inapotosha na ikemewe - na wote walioweka vi-thanks!!!

Marhaba......mtanzania ni dereva wa gari iliyosababishiwa ajali kwenye hiyo chase na ndio yuko mahututi
 
Wandugu...Naona mada taratiiibu inaanza kupoteza mwelekeo wake. Kama ilivyosemwa hapo juu hadi Tcha akaweka na habari nzima nzima ili kusiwe na maneno kama haya. Tumeshaambiwa kuwa mtanzania alikuwa ni dereva wa Honda na aliyesababisha ajali ni dereva wa benz sasa hapo utata uko wapi? Na ukiisoma stori yote hadi na video clip iliyowekwa na MKJJ inaeleza kiufasaha kabisa, Hebu hizi ligi zetu tukazitafutie thread nyingine, kuna nyani Mccain anatafuta mtu wa kubishana nae kuhusu Obama na McCain kule kwa debate ya leo. nendeni huko. Hapa ni condolences na mgonjwa updates tu!!!
 
Ndali alikuwa barabarani akiendesha gari ya Honda Accord. Alikuwa amesimama kwenye taa ya kuongozea magari akisubiri igeuke rangi ya kijani aendelee na alikokuwa anakwenda. Meanwhile, mtoto wa miaka 15 (si Mtanzania) akiwa amechukua gari ya rafiki wa kiume wa mama yake (lile Benz) akiwa amempeperushia kandege ka kati polisi, alikuwa anaenda mwenzo wa kasi karibu maili 100 kwa saa.

Ni katika kufukuzana huko na Polisi akaacha njia na kwenda kuligonga ubavuni gari la kina Ndali na jingine yaliyokuwa yanasubiri rangi ya kijani.

Kwa nje Ndali hakuumiia sana ila ule mshtuko uliotokana na impact, bila ya shaka ulisababisha concussion ambayo imeuumiza vibaya ubongo na bila ya shaka kufanya dislocation ya uti wa mgongo. Na hivyo ndivyo vimemuweka kwenye umahututi.

Sijui kama nimefanikiwa kufafanua.
 
Hebu hizi ligi zetu tukazitafutie thread nyingine, nendeni huko. Hapa ni condolences na mgonjwa updates tu!!!

Hii hapa chini ni condolence na mgonjwa update?

Posted by Black Jesus: "... lakini wakati huo huo tujiulize jee na sisi watanzania hivi tunataka tuwe na maisha kama ya kimarekani ??inapokuja malezi na utamaduni? kwani ukiangalia hapakwetu TANZANIA sasa Tumesha poteza Muelekea wamila na desturi"

Mgonjwa yuko mahututi mnaanza kum lambast kwa kuiga Umarekani kumbe hana hata makosa yoyote. Tunajaribu kurekebisha rekodi za kupotosha zinazotundikwa humu wewe hata huelewi. Jaribu kufuatilia kinachosemwa!!!
 
Ndali alikuwa barabarani akiendesha gari ya Honda Accord. Alikuwa amesimama kwenye barabara ya kuongozea magari akisubiri igeuke rangi ya kijani aendelee na alikokuwa anakwenda. Meanwhile, mtoto wa miaka 15 (si Mtanzania) akiwa amechukua gari ya rafiki wa kiume wa mama yake (lile Benz) akiwa amempeperushia kandege ka kati polisi, alikuwa anaenda mwenzo wa kasi karibu maili 100 kwa saa.

Ni katika kufukuzana huko na Polisi akaacha njia na kwenda kuligonga ubavuni gari la kina Ndali na jingine yaliyokuwa yanasubiri rangi ya kijani.

Kwa njia Ndali hakuumiia sana ila ule mshtuko uliotokana na impact, bila ya shaka ulisababisha concussion ambayo imeuumiza vibaya ubongo na bila ya shaka kufanya dislocation ya uti wa mgongo. Na hivyo ndivyo vimemuweka kwenye umahututi.

Sijui kama nimefanikiwa kufafanua.

Mkuu umeeleweka hata kwa wale wagumu wa kuelewa kimombo hapo wapo sanjali na tukio zima sasa....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom