Mtanzania apata ajali Michigan, Mahututi..

Status
Not open for further replies.
Mungu mwenyezi amponye mwenzetu na awape Madokta ufahamu na nguvu za kumhudumia .amin
 
Hii habari kweli inafaa kuwekwa hapa kwenye jukwaa la siasa?..Au pc yangu inamatazizo coz last time ilikuwa sehemu yake muafaka ya matangazo...
hizi pc zangu sometimes sizielewi naona zinataka kunigombanisha na ma mods..au?..

Mungu akujalie na upone haraka...amina
 
kama una tatizo zima PC.... !
 
Hii habari kweli inafaa kuwekwa hapa kwenye jukwaa la siasa?..Au pc yangu inamatazizo coz last time ilikuwa sehemu yake muafaka ya matangazo...
hizi pc zangu sometimes sizielewi naona zinataka kunigombanisha na ma mods..au?..

Mungu akujalie na upone haraka...amina

Mambo Jambo nafikiri una busara na akili nyingi tu? sio kila kitu duniani kiwe chanzo cha conflict etc. Vitu vingine vinategemeana na uzito wa kitu kinacho zungumzwa, mimi sijawa offended kwa hili jambo kuwekwa hapa wether ni permanently or kwa muda, nikiona ni taarifa isiyo ni faa au siko interested nayo si ninaipita tu.
 
Sikuwa na nia mbaya na post yangu hapo awali.
Hii thread ilikuwa kwenye matangazo mara ya kwanza lakini ghafla imehamishiwa kwenye siasa nilikuwa najiuliza kama inauhusiano na siasa au ni ya kisiasa, sasa inanitatiza kuona watu wengine wakipandisha jazba hapa.

Jazba haijengi tumuombee nduguyetu apone haraka....wote tuseme amina including Mzee MKJJ.
 
Hii habari kweli inafaa kuwekwa hapa kwenye jukwaa la siasa?..Au pc yangu inamatazizo coz last time ilikuwa sehemu yake muafaka ya matangazo...
hizi pc zangu sometimes sizielewi naona zinataka kunigombanisha na ma mods..au?..

Mungu akujalie na upone haraka...amina

sasa imekuwa vipi jazba? yeye kalaumu PC yake na miye nimeshauri aizime kama ndiyo inamfanya aone tatizo kwa habari hii kuwa huku. Mara nyingi habari zinaweza kuwekwa hapa kwa ajili ya exposure na huamishishwa sehemu nyingine.

Tujifunze kuwa flexible tusiwe too uptight hata kwa vitu visivyo na msingi. Sasa mnataka tuanze kubishana kuhusu mada hii kuwa hapa na kusahau mambo ya msingi.

Mgonjwa hali yake ni mbaya, yuko kwenye Coma...
 
Simba kaingia ndani ya nyumba, watu badala ya kupanga mkakati kwa kuchukua gobole na kumtwanga risasi, wanaanza kutafuta viatu vinavyo match na suaruali, ulimbwende.

Maisha ya mtu yapo hatarini, kuna maswali muhimu ya kuhusu care yake yameulizwa, and the best we can come up with ni ku nitpick topic?
 
good observation...

Maisha ya mtu yapo hatarini, kuna maswali muhimu ya kuhusu care yake yameulizwa, and the best we can come up with ni ku nitpick topic?

Kwa ufupi maswali ya care kwa wakati huo hakuna tatizo lolote kwani amepatiwa uangalizi wote unaostahili katika hospitali ya UVM. Mambo mengine ni ya baadaye lakini kwa sasa amekuwa chini ya uangalizi of some of the best brains in emergency care.
 
Maisha ya mtu yapo hatarini, kuna maswali muhimu ya kuhusu care yake yameulizwa, and the best we can come up with ni ku nitpick topic?

Kwa mtaji huo, ndugu Pundit, naomba mwongozo wako zaidi kidogo hapa. Hii posti hapa chini unaionaje, ni wakati wake sasa hivi ?

Mungu amzidishine uzima ndugu yetu lakini wakati huo huo tujiulize jee na sisi watanzania hivi tunataka tuwe na maisha kama ya kimarekani ??inapokuja malezi na utamaduni? kwani ukiangalia hapakwetu TANZANIA sasa Tumesha poteza Muelekea wamila na desturi
 
Kwa mtaji huo, ndugu Pundit, naomba mwongozo wako zaidi kidogo hapa. Hii posti hapa chini unaionaje, ni wakati wake sasa hivi ?

Kuhani,

Black Jesus has some explaining to do, currently the latter part of the post stands as if he was posting on another thread and the text mysteriously found its way into this thread.
 
OMG, I wish him quick recovery.. I saw that accident/crash on TV yesterday it was terrible..pole sana ndugu yetu Mungu yu nawe.
 
Kuhani,

Black Jesus has some explaining to do, it is as if he was posting on another thread and the post mysteriously found its way into this thread.

Kwa hiyo wewe hukubaliani na tabia ya kumsaidia mtu kuamka alipojikwaa na kumpa pole wakati huo huo unamkosoa kwa kushindwa kuangalia njia anayokwenda mpaka akajikwaa, sawa ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom