Halafu hawana akili wala tafakuri... Huyu ndio alikuwa anajitapa kula double tree dinner zakeMtani hawa ni wasanii na ni wanasanaa kila kitu wao ujanja ujanja tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmh anaishi masaki?...sasa kodi analipa kiasi gani kwa mwaka pale, afuu hana 14 milioni?Auze gari yake then akapange uswahilini chumba kimoja aachane na kupanga nyumba nzima Masaki nadhani atapata hicho kiasi cha pesa, alaf hv clouds kweli wameshindwa kumkopesha wakamkata kwenye mshahara!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
exactlyPumbavu kabisa hili janamke,si hua anasema anahela, anajiitaga level baby,sijui madudu gani,anapesa anaishi apartment ya gharama! Sasa leo hii ndo anakosa USD 7000??? Hizi mbwembwe za kwenye social media,waache,sasa ona anavyoumbuka!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha ya mitandao ya kijamii hayapo fair jamani ona sasa anaumbuka, kwa value aliyojipa na shida aliyonayo sasa yani unaona kabisa hamna uhusiano duuuh! Wadada wapunguze nyodo na mbwembwe zisizo na msingi mwenzenu huyo sasa yamemkuta.Huyu si ndio alimpata mchumba wa mahari ya milioni 500? Vitu vingine huwa tunajiharibia wenyewe... Alijipa thamani kubwa kupitiliza akamsahau Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu hadhihakiwi... Tumuombee tu sasaMaisha ya mitandao ya kijamii hayapo fair jamani ona sasa anaumbuka, kwa value aliyojipa na shida aliyonayo sasa yani unaona kabisa hamna uhusiano duuuh! Wadada wapunguze nyodo na mbwembwe zisizo na msingi mwenzenu huyo sasa yamemkuta.
Mungu amsaidie apone tatizo lake.
Anataka sperm donor ya kiamerika... Angeenda China 3000$ ingemaliza mchezo... Ila anataka America... You know she is very famous in this countryAlete ushahidi wa rufaa ya muhimbili kuwa hawaiwezi hiyo kazi. Pili huyu dada aliwahi kujitangaza kuwa ghorofa lake lipo hatua ya mwisho, Auze ghorofa ajenge nyumba ya kawaida kisha pesa nyingine akafanyie matibabu.
Wapo watu wana shida zaidi yake siwezi poteza pesa yangu kuchangia mtu anayejiweza. By the way anatafuta vipi mimba bila mume maana kwenye andiko lake anazungumzia masuala ya sperm donor! Hiki ni kichekesho, unawezaje kumtafuta spermdonor wakati ww mwenyewe una mume tena mnatafuta mtoto, logically spermdonor anapaswa kuwa mume na si vinginevyo!!! Stori yake imekaa kitapeli tapeli sana.
Mtu uliyejitapa huolewi bila M.500 leo unakosa hata 15M!!. Wasanii/watu maarufu waache tabia ya kuishi maisha ambayo sio yao halafu mwisho wa siku wanaishia kugeuka maombaomba tu. Wajifunze kuwa kabla ya kuomba angalia rasimilimali zako ziuze, kisha watafute ndugu zako wachangishe baada ya hapo nenda kwa jamaa zako wa karibu ukishindwa ndio uanze kutembeza bakuli publicly
Sent using Jamii Forums mobile app
Suala lake halina logic ya kupata msaada, limekaa kistarehe kuliko kutatua shida yake. Mtu anayetafuta mimba haitaji sperm donor maana donor ni huyo ambaye wanahaingika naye kutafuta mtoto lkn hawapatiAnataka sperm donor ya kiamerika... Angeenda China 3000$ ingemaliza mchezo... Ila anataka America... You know she is very famous in this country
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko US? Mwenzako anataka kwenda kupandikizwa wa huko.Najitolea kuwa sperm donor free of charge, popote alipo mwambieni.