Mtangazaji wa Clouds, Diva the Bawse afunguka ya moyoni kuwa hawezi kuzaa kisa matatizo kwenye uzazi

Huyu si ndio alimpata mchumba wa mahari ya milioni 500? Vitu vingine huwa tunajiharibia wenyewe... Alijipa thamani kubwa kupitiliza akamsahau Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha ya mitandao ya kijamii hayapo fair jamani ona sasa anaumbuka, kwa value aliyojipa na shida aliyonayo sasa yani unaona kabisa hamna uhusiano duuuh! Wadada wapunguze nyodo na mbwembwe zisizo na msingi mwenzenu huyo sasa yamemkuta.

Mungu amsaidie apone tatizo lake.
 
Alete ushahidi wa rufaa ya muhimbili kuwa hawaiwezi hiyo kazi. Pili huyu dada aliwahi kujitangaza kuwa ghorofa lake lipo hatua ya mwisho, Auze ghorofa ajenge nyumba ya kawaida kisha pesa nyingine akafanyie matibabu.

Wapo watu wana shida zaidi yake siwezi poteza pesa yangu kuchangia mtu anayejiweza. By the way anatafuta vipi mimba bila mume maana kwenye andiko lake anazungumzia masuala ya sperm donor! Hiki ni kichekesho, unawezaje kutafuta mimba wakati huna mume? Tutaamini vipi kama ana tatizo la uzazi wakati hana mume!! Logically spermdonor anapaswa kuwa mume na si vinginevyo!!! Stori yake imekaa kitapeli tapeli sana.

Mtu uliyejitapa huolewi bila M.500 leo unakosa hata 15M!!. Wasanii/watu maarufu waache tabia ya kuishi maisha ambayo sio yao halafu mwisho wa siku wanaishia kugeuka maombaomba tu. Wajifunze kuwa kabla ya kuomba angalia rasimilimali zako ziuze, kisha watafute ndugu zako wachangishe baada ya hapo nenda kwa jamaa zako wa karibu ukishindwa ndio uanze kutembeza bakuli publicly

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha ya mitandao ya kijamii hayapo fair jamani ona sasa anaumbuka, kwa value aliyojipa na shida aliyonayo sasa yani unaona kabisa hamna uhusiano duuuh! Wadada wapunguze nyodo na mbwembwe zisizo na msingi mwenzenu huyo sasa yamemkuta.

Mungu amsaidie apone tatizo lake.
Mungu hadhihakiwi... Tumuombee tu sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alete ushahidi wa rufaa ya muhimbili kuwa hawaiwezi hiyo kazi. Pili huyu dada aliwahi kujitangaza kuwa ghorofa lake lipo hatua ya mwisho, Auze ghorofa ajenge nyumba ya kawaida kisha pesa nyingine akafanyie matibabu.

Wapo watu wana shida zaidi yake siwezi poteza pesa yangu kuchangia mtu anayejiweza. By the way anatafuta vipi mimba bila mume maana kwenye andiko lake anazungumzia masuala ya sperm donor! Hiki ni kichekesho, unawezaje kumtafuta spermdonor wakati ww mwenyewe una mume tena mnatafuta mtoto, logically spermdonor anapaswa kuwa mume na si vinginevyo!!! Stori yake imekaa kitapeli tapeli sana.

Mtu uliyejitapa huolewi bila M.500 leo unakosa hata 15M!!. Wasanii/watu maarufu waache tabia ya kuishi maisha ambayo sio yao halafu mwisho wa siku wanaishia kugeuka maombaomba tu. Wajifunze kuwa kabla ya kuomba angalia rasimilimali zako ziuze, kisha watafute ndugu zako wachangishe baada ya hapo nenda kwa jamaa zako wa karibu ukishindwa ndio uanze kutembeza bakuli publicly

Sent using Jamii Forums mobile app
Anataka sperm donor ya kiamerika... Angeenda China 3000$ ingemaliza mchezo... Ila anataka America... You know she is very famous in this country

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu ni mkweli sana mpaka inaogopesha.
Mnapojinadi kwa uzuri, elimu, vipande vya fedha na mengineyo msisahau kuwa yupo aliyetoa, ndio maana kuna watu hawana hivyo mlivyonavyo ila wana amani kwani wana kile msichokuwa nacho......watoto, respect na amani.
Maisha yetu yamejaa mitihani na bahati mbaya sana hayupo binadamu wa kuihimili kirahisi hasa pale ulipokuwa umejiweka kwenye kundi la wale wanaomini ni bora kuliko wengine na shida kwao ni msamiati mpya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anataka sperm donor ya kiamerika... Angeenda China 3000$ ingemaliza mchezo... Ila anataka America... You know she is very famous in this country

Sent using Jamii Forums mobile app
Suala lake halina logic ya kupata msaada, limekaa kistarehe kuliko kutatua shida yake. Mtu anayetafuta mimba haitaji sperm donor maana donor ni huyo ambaye wanahaingika naye kutafuta mtoto lkn hawapati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom