Mtangazaji wa Clouds, Diva the Bawse afunguka ya moyoni kuwa hawezi kuzaa kisa matatizo kwenye uzazi

Hivi na wote wale ambao wameshindwa kupata mtoto kwa njia ya kawaida tena ambao wengine wako kwenye ndoa na wao wajitokeze kama yeye??..naamini wako wengi

Mtu una gari,unafanya kazi clouds media,una ndugu anatumia simu ya $1000,na bado unataka usaidiwe 15m??,,how comes??

Misaada wapewe watu wenye shida na hawana ndugu,kazi au jamaa ambao wanaweza kuwasaidia..

Kwanza ameshadhihaki sana wanaume huyu mwanamke,mara atukane tunanuka boxer,mara hadate na asiyekuwa na pesa,mara baby wake ni corparate anafanya kazi mjini kati posta,,amfwate sasa amsaidie hizo 15m




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo neno diva maana yake nini?

Janet Jackson kapata mtoto akiwa na umri wa 50+

Kuna yule mama wa (endometryosisy-sina hakika na spelling) nilisikia naye alizaa pamoja na madaktari kumuaminisha kwamba hawezi kuzaa

Gods time is the best
 
Hivi na wote wale ambao wameshindwa kupata mtoto kwa njia ya kawaida tena ambao wengine wako kwenye ndoa na wao wajitokeze kama yeye??..naamini wako wengi

Mtu una gari,unafanya kazi clouds media,una ndugu anatumia simu ya $1000,na bado unataka usaidiwe 15m??,,how comes??

Misaada wapewe watu wenye shida na hawana ndugu,kazi au jamaa ambao wanaweza kuwasaidia..

Kwanza ameshadhihaki sana wanaume huyu mwanamke,mara atukane tunanuka boxer,mara hadate na asiyekuwa na pesa,mara baby wake ni cooparate anafanya kazi mjini kati posta,,amfwate sasa amsaidie hizo 15m




Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, Sista Du hana $ 3000 ktk account

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HV diva amewai kuwa na uhusiano na vijana wa mikoani maana ninahofu sana na hao wijana wa dar kiuwezo just jokes, very sorry my love wacha nione nimeguswaje na jambo hli maana inaumza kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ktk maisha vile vitu ambavyo hatuna ndivyo tunavyovitaka zaidi siku zote tunavutwa kupata tusivyonavyo haya maisha haya Mungu tu ndie anaejua

Mtu mmoja alipanga kwenda kujinyonga kwa kusumbuliwa na watoto wake kwa muda mrefu, akiwa msituni baada ya kuona kwa mbali mti mzuri ambao ungemfaa aliamua kuufuta na chini ya mti ule akamkuta mtu mwingine akijaribu kuupanda akiwa na kamba mkononi akahamaki na kumuuliza unapanda kufanya nn ktk mti na kamba mkononi akamjibu "nimetafuta mtoto hata wa kunisumbua sumbua kwa muda mrefu sijapata roho inaniuma sana..."

Sijui kama alimpa watoto wake yeye abaki bila mtoto ila kitu kimoja tumuombe Mungu atusaidie tuweze kumuamini na kumtegemea
 
Back
Top Bottom