Ivuga wanatengeneza nini hapo?Askari wanajui mitaa yote hii ndio vyanzo vya mapato yao
Dah kweli tanzania RAHA .WATU WANAJIAJIRI WANAAMBIWA BIASHARA HARAMU.WHY?WAMESAHAU KAMA WAO NDO WANAFANYA BIASHARA HARAMU KUBWA KULIKO.
Halafu ukiangalia kwa makini utaona kuna huyo kuku Mtetea anaangalia kwa makini sana jinsi huo mvuke unavyoshuka kuingia kwenye hiyo ndoo!
I have once... siko tayari kujaribu tena. lolSupu ya mawe aka gongo. Wanna test it?
Ivuga wanatengeneza nini hapo?
Qharqharmoo....!