Nahitaji Mtambo wa Solar Power used

Clark boots

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
6,402
5,527
Kwa wale walio karibu na
Mikoa ya Mbeya au Songwe na una miliki Mtambo wa Solar power basi nahitaji tafadhari.
Kama ni unahama kwenda Mkoa mwingine au una shida tu kidogo.
Basi mteja nipo hapa naomba tuwasiliane.
Ukubwa wa Mtambo wa Sola nahitaji ni kuanzia:-
Battery N70 & Solar Panel Watt100 na kuendelea.
NB: Battery iwe na uwezo wa kusukuma TV at least Inch 24+
 
Kwanini usichukue Zola mpya? Unalipa kidogokidogo unachagua ulipe kila wiki au kila mwezi!
Mtambo mkubwa unawasha hadi Tv, friji
Kuwe mvua hata mwezi hauzimi.
 
Kwanini usichukue Zola mpya? Unalipa kidogokidogo unachagua ulipe kila wiki au kila mwezi!
Mtambo mkubwa unawasha hadi Tv, friji
Kuwe mvua hata mwezi hauzimi.
Zola ni michosho sana ,bora ajichange tu anunue betry ,pannel , invetor maisha yaendeleee
 
Mkuu ni ushauri nzuri Ila changamoto kubwa ni bei zao ziko juu sana,, niliulizia kampuni moja ya Mobsolar/Mysolar kwa Mtambo wa Solar watt 80 ni Tsh 2,700,000/= mkopo kwa miaka miwili wa kulipa Kila mwezi..
NIMESHINDWA KWA KWELI
Kwanini usichukue Zola mpya? Unalipa kidogokidogo unachagua ulipe kila wiki au kila mwezi!
Mtambo mkubwa unawasha hadi Tv, friji
Kuwe mvua hata mwezi hauzimi.
,
 
Back
Top Bottom