Mtambo wa kutengenezea supu ya mawe

Ukigonga hiyo kitu hupatwi na magonjwa ovyo ovyo,ila ujiandae kunenepa mashapu tu.
 
Hii kitu sehemu nyingine inaitwa Sifongo au Nipa au Ipacho! Ikipigwa kiberiti ni Blue flame!
 
Dah kweli tanzania RAHA .WATU WANAJIAJIRI WANAAMBIWA BIASHARA HARAMU.WHY?WAMESAHAU KAMA WAO NDO WANAFANYA BIASHARA HARAMU KUBWA KULIKO.
 
Mtaa ninao kaa kuna viwanda vya hiyo kitu 20 hivi.Polisi ni moja ya wateja wao.Cha AJABU SERIKALI INAJUA LAKINI NAO WANA HISA HUMO.
 
Dah kweli tanzania RAHA .WATU WANAJIAJIRI WANAAMBIWA BIASHARA HARAMU.WHY?WAMESAHAU KAMA WAO NDO WANAFANYA BIASHARA HARAMU KUBWA KULIKO.

Ha ha haa haaa! Tatizo uharamu wake unakuja inapowadhuru watumiaji maana madhara yanaonekana haraka na waziwazi. Lakini madhara yanayotokana na uharamu wa biashara za wakubwa yamejificha au inakuwa vigumu kuya relate moja kwa moja na biashara husika, mfano kusafirisha twiga au biashara kugawana posho.
 
802400852.jpg
Halafu ukiangalia kwa makini utaona kuna huyo kuku Mtetea anaangalia kwa makini sana jinsi huo mvuke unavyoshuka kuingia kwenye hiyo ndoo!
 
Halafu ukiangalia kwa makini utaona kuna huyo kuku Mtetea anaangalia kwa makini sana jinsi huo mvuke unavyoshuka kuingia kwenye hiyo ndoo!

hahaaa nilikuwa sijanote. Wawezakuta ni mlinzi huyo
 
Supu ya mawe aka gongo. Wanna test it?
I have once... siko tayari kujaribu tena. lol
Ila ni part ya informal sector ya uchumi wetu... bowa wawezeshwe tu kwa kweli, wawe wanaproduce katika mazingira safi, walipe kodi na wapinzane na Agave Tequila
 
  • Thanks
Reactions: EMT

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom