Mtaani kwetu Jei Efu...

Unanitakia nini?

Nimekuona unanisema sema wiki hii, hujui niko bize nakamuliwa Ikulu?

Unataka kupoteza uraia wa jf naona.

Naona ulijisahau ukaingia na Maziwa Ya Mgando
Hahahhaaaaa aiseee raha sana lol
Nilikuwa na njaa walau nimekata kiu sasa.....
Na kesho uje na Madhiwa eeeee
 
Hahahahahaaaa si nimekuiga wewe....
Lol ila itajibadili baada ya masaa 24
Usibadili kwanza, hadi utakapo pokea PM yangu.
Hii avatar imekutoa mwake kabisa! lol
Kwa sasa PM imefungwa, nasubiri waniletee funguo.
 
Ukiudhiwa Kazini, nyumbani au popote we ingia mtaa wa jei efu, utaburudika Na kusmile again. Naupenda huu mtaa kuliko kitu kingine chochote.
 
He he he, nikiamua nampindua amyner.

Una bahati am so taken siku hizi na naniliyu wangu lol

Hakuna lolote.....
Watu walikupenda enzi za Maziwa Ya Mgando ila tangu wakuchinje na kukubakiza Kongosho hakuna mwenye hamu na wewe.....
Kwikwikwikwikwikwiiiiiiiiiii
 
ila usithubutu uende si hasa, wanakula kongosho yako na bandama.

Afu wanakulaza kwa maziwa ya mtindi.

Ukiudhiwa Kazini, nyumbani au popote we ingia mtaa wa jei efu, utaburudika Na kusmile again. Naupenda huu mtaa kuliko kitu kingine chochote.
 
Uteremke hapa mianzini, nitakupeleka huko O'Lingai na baja baada ya kupata cha R!
 
Usibadili kwanza, hadi utakapo pokea PM yangu.
Hii avatar imekutoa mwake kabisa! lol
Kwa sasa PM imefungwa, nasubiri waniletee funguo.
Hahahahaaaa Mwali...lol
Ila hata mimi sijaizoea bado utashangaa naambiwa nimefanana na huyo jamaa....uzuri hata km ni mimi watu watajua niweka ya mwingine...safi sana
 
Hahahahaaaa Mwali...lol
Ila hata mimi sijaizoea bado utashangaa naambiwa nimefanana na huyo jamaa....uzuri hata km ni mimi watu watajua niweka ya mwingine...safi sana
kumbe umefanana na jamaa? :A S 39: not bad...
mi sijafanana na huyu mrembo wa avatar yangu hata tone! lol
 
He he he, nikiamua nampindua amyner.

Una bahati am so taken siku hizi na naniliyu wangu lol
We sikutaki hata kwa mtutu...unataka nikuoe then tukiwa ndani ukibadilika jinsia ile kwangu unigeuze...lol
Sidanganyiki ng'oo....
Mimi na Amyner tumeshibana we tafuta wenzako wa jinsia mbili..
lol
 
kumbe umefanana na jamaa? :A S 39: not bad...
mi sijafanana na huyu mrembo wa avatar yangu hata tone! lol

We sijafanana bana...nimesema hata ningekuwa ni mimi hapo usingejua kama ndio mimi...teh kwani huyo humjui?
 
Back
Top Bottom