Mtaani kwetu Jei Efu...

Pia Maziwa mgando yamepotea Jf hatusaplaiwi tulishaanza kuyazoea!

kuna mtu aliahidi kusaplai maziwa mgando mkuu? Mbona mi sijawahi yapata, au kuna code natakiwa kuwa nayo kwanza?
 
Unanitakia nini?

Nimekuona unanisema sema wiki hii, hujui niko bize nakamuliwa Ikulu?

Unataka kupoteza uraia wa jf naona.

he! Kumbe ni wewe?
umesema unafanywa nini ikulu? Na nani? Tangu lini? Mpaka lini?

Naona Jaji menti anakumis..!
 
Hee! Maziwa mtindi ?
Kumbe pamoko? Kamuliwa tu huko mjengo mweupe! Wakitosheka makamuzi yahamie kwangu.

mkuu huwezi jua huko ikulu wanaweza yamaliza bifoo hujayafaidi. Kama vipi jifanye Hashim Thabiti uombe kumuona mkulu na wewe ukayafaidi ma milk..
 
mkuu huwezi jua huko ikulu wanaweza yamaliza bifoo hujayafaidi. Kama vipi jifanye Hashim Thabiti uombe kumuona mkulu na wewe ukayafaidi ma milk..

Au shortcut kwa vile Riz'one ni mshkaji wangu wa karibu nitafanyanae deal aniibie walau kwenye kikombe cha kahawa.
 
Poa poa Arifu. Preta atakuwepo?
Preta alikuwa safari tangu juzi sijawasiliana nae bado ila naamini atakuwa amerudi jana jioni.
Wapo wengi sana aisee wala usijali siunajua huku ndo wazee wa JF wametulia?
 
Preta alikuwa safari tangu juzi sijawasiliana nae bado ila naamini atakuwa amerudi jana jioni.
Wapo wengi sana aisee wala usijali siunajua huku ndo wazee wa JF wametulia?

haina kwere kaka, ila ukifanya mpango Preta akawepo kwenye mapokezi ingekuwa bomba zaidi.
 
sina skendo, watu wanajipendekeza sana kwangu.
Hakuna lolote.....
Watu walikupenda enzi za Maziwa Ya Mgando ila tangu wakuchinje na kukubakiza Kongosho hakuna mwenye hamu na wewe.....
Kwikwikwikwikwikwiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom