Mswati mfano wa kuigwa (?)

Na kwa taarifa pia, kati ya hao wote waliojitokeza mwaka huu hakuchaguliwa hata mmoja. May be hakuna aliyekidhi vigezo!
 
atakuwa mke wa 14, hao mabinti wanaolewa wakiwa bikra!......

Ningependa kujua takwimu za UKIMWI huko kwa mfalme kwa sababu kwa utamaduni huu ni wazi kuwa wasichana wengi wanajitunza ili wapate chance ya kuperforme mbele ya Mfalme na kujaribu bahati zao lol . Poor wavulana wao hawana motisha
 
asee,
kajamaa kana faudu hakoo!.
icon10.gif

yeye atakuwa anafaidi lakini kwa wake zake atakuwa hawatendei haki,imagine huo mzunguko mpaka mke wa 6-7 aje afikiwe hao wengine wanamalizia wapi haja zao za kimwili kama binadamu alie kamili?
 
Na kwa taarifa pia, kati ya hao wote waliojitokeza mwaka huu hakuchaguliwa hata mmoja. May be hakuna aliyekidhi vigezo!

kama nilickiliza news vizuri waliojitokeza ni mabinti elfu 80, sielewi anawachaguaje hapo......
 
Last edited:
yeye atakuwa anafaidi lakini kwa wake zake atakuwa hawatendei haki,imagine huo mzunguko mpaka mke wa 6-7 aje afikiwe hao wengine wanamalizia wapi haja zao za kimwili kama binadamu alie kamili?

Hehehehee kwani wewe hujui kuwa kuna zana kama vibrator, dildo, vidole, n.k.? Au wewe hutumii zana?
 
Ningependa kujua takwimu za UKIMWI huko kwa mfalme kwa sababu kwa utamaduni huu ni wazi kuwa wasichana wengi wanajitunza ili wapate chance ya kuperforme mbele ya Mfalme na kujaribu bahati zao lol . Poor wavulana wao hawana motisha

mie naona ni mateso tu, wanaweza kuolewa na wanaume wenine na wakafurahia maisha kuliko huko mpo mafungu, waweza ucmuone mume hata kwa miezi....
 
Hehehehee kwani wewe hujui kuwa kuna zana kama vibrator, dildo, vidole, n.k.? Au wewe hutumii zana?

Mkuu NN,

Una maana zile vakesheni za balozi fulani wa naniii huwa zinaishia huko nini? Duuu, jamaa atakuwa anafanya biashara safi sana kuzinunua kutoka Ulaya/USA/Asia na kuzipeleka kwa wake wa Mfalme. Sasa lile alipiga nalo picha sijui nani alipewa? Inabidi Game Theory atuambia maana amekuwa anafuatilia kwa karibu sana lile Dildo la balozi.

Masahihisho kidogo wakuu:
HII NGOMA HUCHEZWA KILA BAADA YA MIAKA MIWILI na siyo kila mwaka.
 
Kwakwakwaaaa....yeah babu, Game Theory amekuwa akilifuatilia kwa ukaribu sio kifani kuhusu hilo lidude aisee. Jamaa naye sijui nini kilimtuma kulishika na kupiga picha nalo huku akitoa tabasamu la karne. Halafu lilikuwa zinga la mdude aisee...heheheheheheee...duuuh
 
Ha hahaaa. Lile dude lilikuwa JEUSI hadi linang'aa. Mzinga wa kitu hadi Game Theory amekewa kama Bench mark ya kumshambulia balozi. Kama angelikuwa kondoo basi kule kwetu wangelisema "NGULATI YA PIIII!!!!!"

Mkuu umeniuwa hili la "jamaa hatumii zana". Huwa nikiona Wazungu wameweka mustachi kama wa Hassan Diria, huwa nacheka sana kwani kwangu mie hiyo ni zana muhimu sana WANAPOPIGA VIGELEGELE...... ererererereeeeee (kama alichokisia Obama Berlin).
 
nope...napendelea uhalisia, na hayo madude cdhani kama yanawaridhisha hata kidogo, wana act tu.

See, wewe ndio mwanamke haswa! I like you now. Ila sitakuwa kama Yo Yo na kuanza kukubugudhi na PM kila dakika Lol....
 
Na wengine hapo matiti yameanguka kama mama ambaye alitumia muda wake sawa sasa kunyonyesha. Je huyo naye ni natura virgin au ni ile artificial?? Nisaidieni wajameni.

mnyonyo kuanguka haihusiani na hayo ma bro.
 
See, wewe ndio mwanamke haswa! I like you now. Ila sitakuwa kama Yo Yo na kuanza kukubugudhi na PM kila dakika Lol....

hivi Nyani Ngabu hayo madude yataridhisha mtu kwa namna gani, mapenzi yanaanzia mbali...rom na michezo ya hapa na pale, sasa huyo anae2mia hayo madude ana enjoy kivipi?...mie nimeshaku pm...lol
 
Lol Nyamayao....you are silly!! Do you hear me? You are silly...in a good kinda way though....

Haya na mimi nimeshajibu PM yako....LOL
 
...Mswati kazaliwa kwenye tamaduni hiyo, amekulia kwenye tamaduni hiyo ya kuoa wake wengi (baba yake, King Sobhuza alikuwa na wake 100!).

Huenda wazee wa kiswazi wanasimulizi na imani zao kwanini Mfalme anatakiwa aoe mke mpya kila baada ya miaka miwili...

Mwacheni adumishe mila za kwao wajameni...
 
hivi Nyani Ngabu hayo madude yataridhisha mtu kwa namna gani, mapenzi yanaanzia mbali...rom na michezo ya hapa na pale, sasa huyo anae2mia hayo madude ana enjoy kivipi?...mie nimeshaku pm...lol

We Nyamayao unaishi ulimwengu gani?
Kuna mtu hapa hapa alitamka anatumia na anajisikia raaaaha kuliko akipata natural alitaja faida kadhaa.
 
Komredi sasa unataka kuharibu.....usije kumfanya atake kujaribu hayo madubwana
 
hivi Nyani Ngabu hayo madude yataridhisha mtu kwa namna gani, mapenzi yanaanzia mbali...rom na michezo ya hapa na pale, sasa huyo anae2mia hayo madude ana enjoy kivipi?...

Nyamayao,

Unapiga simu sehemu na hapo kuna jamaa lina sauti kama marehemu Barry White linakuwa linakuongoza kama vile uko kwa Padre kushuhudia.

Au wengine hutumia wimbo huu wa Marehemu Roger Troutman akiwa na nduguze kwenye kundi la ZAPP ....

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=8AZA3ykDaIw[/ame]
 
Back
Top Bottom