Smile
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 15,347
- 11,611
Bebii pamoja na kwamba hii thread imenigusa ila nashukuru umenifanya nicheke lol, ukiona unamchukia hivyo ujue bado unampenda sana tu samahani kwa hili, ila siku upendo ulionao kwake ukikutoka utashangaa humchukii wala nini utakua unamuona wa kawaida tu..
mwajiri wak yupi anavuta bangi jf? najitoa mi na bangi tofauti nieleweshetunafurahi sana kuona kwamba hata kama sisi mods hatupo around, vijana mnajadili mada bila mikwaruzano wala kuenda offu topik, hii imenipa moyo sana na nitashauriana na mods wenzangu tuanzishe JF nyengine zikuwepo 2. Hivyo basi Kwa niaba wa ya waifu (ambae juzi kwa bahati mbaya ameibiwa handbag yake), na kwa niaba ya jirani yangu (ambae alipima ukimwi juzi akaonekana anao), na kwa niaba ya mwajiri wangu (ambae anavuta bangi kabla breakfast) napenda kuchukua nafasi hii kuwashkuru nyote. Mbarikiwe sana
bek to topik: muda hautoshi kucomment.
nawahi press conference