"Msukule" wa Mapenzi...

Hhahahha...waveja!!

Ndo umezidi kunifurahisha. Ila sahihisho dogo tu - ni obheja. Kwa wewe unaweza kuongezea na kusema 'obheja bhabha'..Ila sio waveja.

Back to the topic at hand. You know, it is not brain surgery. It is so simple. What people lack is the will power to say no and you broke it down so beautifully. I like your common sense.
 
how my dia?.....ucku mmelala call hiyo no huijui na mwenza coz ameshakuwa nawacwac bac mackio juu juu kutaka kujua kulikoni, ukikata baada ya kumtambua mhucka ni yule msumbufu bac mgogoro tayari, kucall mchana ni nadra sana, ucku wa kati ili mradi uharibifu tu...inachosha sana sana....kuna cku nilimcal nilipokuwa ofcn kuongelea juu ya hili, niliongea na ukorofi wangu wote mpaka mate yakanikauka nilijibiwa"nia yangu kuharibu, ulikuwa wangu utaendelea kuwa wangu"..ucku call kama kawaida, namhurumia mr anavyojickia kweli hata ingekuwa ni mie ananifanyia hivyo nicngemuamini na kasheshe lake analijua but sasa nitafanyaje ili aniamini kwamba huyu mtu ana nia ya kuniharibia na c vinginevyo?

Aiseee...kweli huyo kaamua.

Ila bado dawa yake ni ndogo wala sio kubwa sana.Unaweza ukamuomba Mr. awe anakupokelea pale unapoona namba inayopiga yaweza
kua ya huyo mharibifu.Na kama ndie anamwambia amuachie yeye ujumbe atakufikishia.

Kitu kingine unachoweza kufanya ni kuacha kupokea namba zote usizozijua nyakati za jioni...na watu wako wa katibu unawaambia kabisa ikitokea wakahitaji kuzungumza na wewe kwa namba usizofahamu wakutext kwanza ndio utakapopokea.Kila kitu ni nia my dear...kama yeye alivyo na nia ya kukuvurugia na wewe kua na nia ya kumkosesha hiyo nafasi.
 
Ndo umezidi kunifurahisha. Ila sahihisho dogo tu - ni obheja. Kwa wewe unaweza kuongezea na kusema 'obheja bhabha'..Ila sio waveja.

Back to the topic at hand. You know, it is not brain surgery. It is so simple. What people lack is the will power to say no and you broke it down so beautifully. I like your common sense.

Ila angalau nimejitahidi...obheja bhabha kwa kunisahihisha!!

Yeahhh ni kiasi tu cha watu kuamua kwamba SITAKI/SIKUBALI kutumika hivi na vile tena!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mkuu ..mimi naamini mapenzi ni "theory" lakini maisha ni "practical" ..
Mkuu mimi ninaamini mapenzi is what makes you happy and works for you (hakuna Black or White hapa, hakuna msaafu wala Kanuni za mapenzi) what works for most might not work for some...,

Sababu hakuna kitu ambacho kinakuja na positives tu, bila negative, kwahiyo its up to you an individual to do what makes you happy (and what the heart yonder) na inabidi uwe responsible to live by your choice with all the negatives.... kama mfano wa rollercoaster; kama unafurahia kuwa on the High basi ukubali na wala usilalamike ukiwa kwenye Low

Sababu unajua faida na hasara kama unaona faida ya utakachopata au unachopata ni kikubwa kuliko hasara basi all the best and good luck na hakuna mtu wa nje ambae anaweza akakuonea hurumu kwamba unapelekeshwa wakati hatujui ni nini utachokipata.
 
Aiseee...kweli huyo kaamua.

Ila bado dawa yake ni ndogo wala sio kubwa sana.Unaweza ukamuomba Mr. awe anakupokelea pale unapoona namba inayopiga yaweza
kua ya huyo mharibifu.Na kama ndie anamwambia amuachie yeye ujumbe atakufikishia.

Kitu kingine unachoweza kufanya ni kuacha kupokea namba zote usizozijua nyakati za jioni...na watu wako wa katibu unawaambia kabisa ikitokea wakahitaji kuzungumza na wewe kwa namba usizofahamu wakutext kwanza ndio utakapopokea.Kila kitu ni nia my dear...kama yeye alivyo na nia ya kukuvurugia na wewe kua na nia ya kumkosesha hiyo nafasi.

...hapo sasa, Nyamayao unasemaje hapo?
 
Sababu hakuna kitu ambacho kinakuja na positives tu, bila negative, kwahiyo its up to you an individual to do what makes you happy (and what the heart yonder) na inabidi uwe responsible to live by your choice with all the negatives.... kama mfano wa rollercoaster; kama unafurahia kuwa on the High basi ukubali na wala usilalamike ukiwa kwenye Low

QUOTE]

Mkuu ni ile time ya kugundua kuwa kuna side effect ya kile unachofanya maana unaweza fanya mambo mengine bila hata kujua kuwa yana matatizo ila baadae ndo unakuja kugundua kuwa mhhh kumbe nineingizwa mjini. Mkuu kuna wakati mtu anakuwa so blind hajui anafanya nini wala ukimwambia kuwa this is wrong haelewi wala hasikii. So mtu kama huyo kuja kujua kuwa alichokuwa anafanya ni kibaya itachukua muda au kina side effect ni ngumu sana
 
Unaweza ukamuomba Mr. awe anakupokelea pale unapoona namba inayopiga yaweza
kua ya huyo mharibifu.Na kama ndie anamwambia amuachie yeye ujumbe atakufikishia.

Hiyo kidogo inaweza kuleta utata kwa wale ambao simu zao ni mali zao na wenza wao hawaruhusiwi kuzishika. Wenyewe huwaga wana-cite sababu kuu ya kufanya hivyo ni privacy. Kwamba simu ni mali yake yeye peke yake. Mwenza wake aishike kwa minajili ipi? Ujue wapo wa aina hiyo....
 
Well sasa hapo ndo mtu aamue kama hiyo privacy ambayo tayari imevamiwa na X ni muhimu kuliko mahusiano aliyonayo?!Kama ni ndio basi awe tayari kwa lolote.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Sijasoma comments zote ntasoma baadae niko busy kidogo. Ila ex wako ni rahisi sana kukusumbua kama mlizaa wote, na hiyo ni ngumu kukwepa hata kama atakuwa na katabia ka crying wolf. Mimi nadhani hiyo muichukulie kama changamoto especially kama watoto/mtoto hauko nae ila anaishi na ex. Huwezi sikia mtoto anaumwa ukadharau eti labda anadanganya. Ila ninaona madhara makubwa kwa mwenza ulonaye currently. Kama ana moyo mdogo ndoa yenu yaweza kuwa haina furaha. Nachoweza kushauri ni kuwa dawa ya ma ex wa hivyo ni kukutana nao ukiwa na current partner ili kuwakomesha. Mwenyewe atahacha kukusumbua. Kaa chini na mke/mume wako wa sasa mweleze jinsi ex anavyo take advantage ya kuwa na mtoto wako; then mwambia akusaidie kila anapokuita awe na yeye pembeni na akipiga simu usiku, mpe mkeo/mumeo apokee mwenyewe atakoma na atakuita tu akiwa na shida kweli kweli. It is just a matter of time maana najua watoto wakikua there is no need of contacting them you can talk directly to the kids.
 
Mkuu ni ile time ya kugundua kuwa kuna side effect ya kile unachofanya maana unaweza fanya mambo mengine bila hata kujua kuwa yana matatizo ila baadae ndo unakuja kugundua kuwa mhhh kumbe nineingizwa mjini. Mkuu kuna wakati mtu anakuwa so blind hajui anafanya nini wala ukimwambia kuwa this is wrong haelewi wala hasikii. So mtu kama huyo kuja kujua kuwa alichokuwa anafanya ni kibaya itachukua muda au kina side effect ni ngumu sana

Mkuu ndio maana nikasema unless labda mtu anakuwa abused au anafanyiwa mambo ya kumfanya yeye akakosa raha hapo sawa ni kweli.., lakini kuna vitu ambavyo watu wa nje tunaweza tukasema kwamba fulani anatumiwa (labda anachunwa na mwenza wake au kamfanya ajenge kwao, au amjengee nyumba au anamfanya asitoke na kutembea kama zamani n.k.).. Sasa basi binadamu tunaweza tukapelekea kusema kwamba jamaa amelogwa..., lakini kumbe sio kweli na kwake yeye kutoa hivyo vitu kwake ni kuonyesha upendo na haoni shida yoyote...

Kwahiyo mkuu swali ni kwamba Je definition ya jamii kwamba huyu mtu yupo blind na anapelekeshwa ni sawa na ya huyu jamaa.. (huenda huyu mtu money au material things hazina value na kuona tabasamu la mwenza wake ni furaha tosha), au labda mwenza wake ana-weakness ya wivu au mdomo mwepesi wa kulalamika (lakini kuna mema mengi anayompa ambayo sisi watu wa nje hatuyaoni)

Shida inakuja pale wanapoachana baadae watu ndio wanaconfirm kwamba huenda labda alikuwa anamchuna mwanzo lakini huenda scenario imebadilika (ndio kweli wapo wale waongo lakini inabidi kila case tuichukulie tofauti) na mtu anayejua kama kweli anapata furaha au karaha sio sisi jamii bali ni muhusika mwenyewe
 
Kuna mtu alinieleza kuwa mapenzi yanakuwa na nguvu sana mtu anapoanza kumwonea huruma (sympathy) mpenzi wake au ex-GF/BF! Ila kuna watu wanalazimisha sana ili wapewe hiyo sympathy.

Mimi ninavyoona ni kwamba watu wengi wanapoachana wanabaki na kisebu sebu. Kwani huwezi kuachana na GF wako ukamsahau? Mimi nilishamsahau mmoja hata alipojaribu kuniomba namba ya simu unilimnyima. Na hata sijui nitamjibu nini akinipigia simu siku moja. Kuna mtu aliniuliza kwamba, "kwa nini watu wasiwasahau Ex-GFs/BFs kama wanavyo sahau toilet tissue baada ya kutoka wash room"??? Ukiweza kuiaminisha akili yako kwamba huyo si wako tena basi sidhani kama usumbufu wake utakugusa au kuku-distract!

Babu DC
 
Chauro pole,...au tupeane pole?
Acha tu.

Kutekwa mawazo pia hakutoshi ku define haya matukio,
maana mtu ana kukeep busy siku nzima, kama mwalimu
vile anavyomwachia mtoto Homework.

Simu za, "Nataka kuongea na wewe, nitakupigia!"...halafu jiii...
siku nyingine unapata sms, "Nipo Hospitali,...nimewekewa dripu!"
Unajitahidi kuuchuna, siku inapita...wiki haijesha unakurupushwa tena
saba za usiku, ...eti "kama una nafasi kesho nije tuongee!" Arrrghhhhhh!!!

Eh..................Mbu yaani leo umenirudisha mbali hadi nimechoka mwenyewe..................hii Emotional Roller Coaster mie nlishaipanda mara nyingi sana we acha tu . ctaki kukumbuka maana wenye mioyo midogo hamtakawia kushika fimbo na kuchapa screen zenu. Acheni jamani
 
Kama ni kweli anashida na unaweza kumpa msaada anytime unamsaidia huo ndio ubinadamu...

Kama ni muongo anasingizia jambo ambalo halijatokea siku akipiga simu usipopokea au akikuita usipoenda (asije kulaumu) Kumbuka hadithi ya the Boy who cried Wolf.... Inshort nitatoa msaada wangu kwa EX within reasons na with limit...

Na kama EX hana busara basi asitegemee nitamtreat kwa busara..

Mh .......Babu samahani kama nauliza swali ambalo ushaulizwa......utajuaje kama ni genuine shida au lah?? Halafu unaposema utatoa msaada kwa Ex----- ashakuwa ex, why akurudie??? Na unaposema Ex inategemea.....Ex ambaye mna kiunganishi (mtoto) ni tofauti na Ex tu.........nitatoa msaada .......kama tuna kiunganishi nao utakuwa na limitations!! Na nitatoa POLE kama hakuna kiunganishi na ni Ex!. FULL STOP otherwise more than that it is a Roller Coaster!! Kama mmeachana, why arudi kwako kwa msaada kama hana agenda ya siri (to bring you back/kuchezea hisia zako?)
 
sasa utakuwa unaweka ukaribu ambao hautakiwi.kila mtu awe na maisha yake kwa amani mkutane kwa bahati mbaya sio kutafutana bila sababu huko ni kuumizana feelings

....................Bebii you are right kabisa................ ni namna ya kudeal nayo. wewe kama Ex wangu umeshatimiza wajibu wako umenipa taarifa mama mgonjwa PERIOD. nitampigia mama na kujua anaendeleaje lakini mwingine utamkuta badala ya kumpigia mama/wifi au baba kutaka kujua hali ya mgonjwa yeye anampigia Ex- mgonjwa anaendeleaje, leo amekula bla bla bla ah....kwano ye ndo Dr au nesi?? ndo emotional roller coasters zenyewe hizo. ah mie niliyafanya kwake yanatosha kwa sasa nimemwachia aisome namba tu kwa nyuma kama si kula vumbi!!
 
Mh .......Babu samahani kama nauliza swali ambalo ushaulizwa......utajuaje kama ni genuine shida au lah??
Always nitatoa msaada kama nikiombwa au nikihitajika, lakini future misaada itategemea anachukuliaje misaada yangu kama dhumuni lake ni kuniharibia relationship yangu au kunipotezea muda basi nita-keep distance (my point being sababu tu tuliachana sio kwamba ndio tuwe maadui na mtu hakatai wito anakataa neno)

Halafu unaposema utatoa msaada kwa Ex----- ashakuwa ex, why akurudie??? Na unaposema Ex inategemea.....Ex ambaye mna kiunganishi (mtoto) ni tofauti na Ex tu.........nitatoa msaada .......kama tuna kiunganishi nao utakuwa na limitations!! Na nitatoa POLE kama hakuna kiunganishi na ni Ex!. FULL STOP otherwise more than that it is a Roller Coaster!! Kama mmeachana, why arudi kwako kwa msaada kama hana agenda ya siri (to bring you back/kuchezea hisia zako?)
Unajua it depends some of the Ex wanaweza wakawa ni good friends the only reason ya ku-keep distance na Ex wangu ni sababu ya kuogopa complications au wivu ambao mwenza wangu anaweza akaupata, lakini if I can listen na kutoa msaada na ushauri to a stranger why not an Ex who used to be ubavu wangu (especially kama tuliachana vizuri..?)..., It Just there is a line which should not be crossed na kama na yeye ataweza ku-keep than line akipata shida tamsaidia kwa uwezo wangu wote (yaani been an Ex isiwe disqualification ya kutokumpa msaada)
 
Mbu.....hiyo ya kunical na no niczozijua coz anajua ya kwake cwez kupokea(leo pia amecal na no nicyoijua) ndio inanikera zaidi zaidi, kuna cku alinical nipo na msukuma tunaelekea kuwajibika, unajua ile mtu anaanza na salamu ndefu maelezo mengi na hujamjua bado, unabakia unamuuliza mwenzangu nani, anakuuliza/eleza cjui nn na nn na nn, msukuma pembeni anahic unaongea kwa wacwac, inaniletea shida sana sana, unakacrikiwa kucpo na lazima..na maswali yacyo na lazima...anakuharibia cku kabisa......kweli inaudhi sana.

pole dada yangu najua inavyouma.........mie nilipita huko!! Loh yangu ilikuwa ni kubwa yaani nlikuwa narespond kwa vitendo......hajapiga mie napokea yaani I used to give him attention ya hali ya juu lucky me ni kuwa nlikaa kwa muda mrefu pasuipo kuwa na mwenza baada yake so hayo ya kuwa na wacwac wa kupokea simu au kuongea sikuwa nayo mpaka siku nilipowezajiamulia basi ni basi............yaani anabaki anashangaa na kuwish kumjua huyo anayenishka masikio........... tena kwa sasa hivi loh ndo kabisaaaaaaaaaaaaa kama ni mwalimu nimempata mwenye PhD.
 
Hiyo kidogo inaweza kuleta utata kwa wale ambao simu zao ni mali zao na wenza wao hawaruhusiwi kuzishika. Wenyewe huwaga wana-cite sababu kuu ya kufanya hivyo ni privacy. Kwamba simu ni mali yake yeye peke yake. Mwenza wake aishike kwa minajili ipi? Ujue wapo wa aina hiyo....
aiseee, mpenz wa aina hiyo sitakaa nimuamini lol.
 
mbu huko mbona kutesana? Hakuna wa kumlilia isipokuwa ex?Mi naona ni makusudi tu....hataki upate amani ya moyo wala kichwa/distraction, kutaka kuonewa huruma ay kukukomoa tu.Sasa na ww ukimuendekeza kila akilialia anakupata, basi utakomaSijaqahi kuruhu ex aniletee kikwazo kwenye mapenzi yangu ninayoyathamini kama mboni ya jicho langu, na kamwe sitamruhusu. same way i wouldnt like my man to entertain that kind of com....

bht ....................aksante sweetie!
 
Aiseee...kweli huyo kaamua.

Ila bado dawa yake ni ndogo wala sio kubwa sana.Unaweza ukamuomba Mr. awe anakupokelea pale unapoona namba inayopiga yaweza
kua ya huyo mharibifu.Na kama ndie anamwambia amuachie yeye ujumbe atakufikishia.

Kitu kingine unachoweza kufanya ni kuacha kupokea namba zote usizozijua nyakati za jioni...na watu wako wa katibu unawaambia kabisa ikitokea wakahitaji kuzungumza na wewe kwa namba usizofahamu wakutext kwanza ndio utakapopokea.Kila kitu ni nia my dear...kama yeye alivyo na nia ya kukuvurugia na wewe kua na nia ya kumkosesha hiyo nafasi.

kuna k2 nimekinyaka hapo kinaweza kunisaidia,nitakupa feedback mae! thnx sana.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Back
Top Bottom