Msishangae CCM ikishinda Arumeru Mashariki

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
180
chadema chadema chadema,

msijipe moyo kuwa mtashinda arumeru mashariki,watanzania ni watu wa ajabu sana,labda niwakumbushe kidogo wakati kashfa kuu kwa serikali ya richmond kulikuwa na uchaguzi wa ubunge tunduma na ccm yenye kashfa ikashinda,tukiwa kwenye hali mbaya kiuchumi,kisiasa na kashfa kede uchaguzi mkuu 2010 watanzania walimchagua jk na ccm yake kwa zaidi ya asilimia 60,juzi juzi igunga pamoja na matatizo yote waliyonayo magamba bado watanzania wakaichagua ccm,uzini nayo mmejionea,watanzania watanzania watanzania ni nani awakomboe.ndugu zangu siwakatishi tamaa ila msishangae ccm ikiibuka na ushindi mnono arumeru mashariki wananchi wa tanzania ndivyo walivyo bado hawako tayari kukombolewa.
 
Naombea huu mgawo wa umeme ulioanza wiki mbili zilizopita uwe mkali sana kwa maeneo ya Meru, huenda ukawakumbusha Washili HUKO MERU kuwa ni wajibu wa serikali ya ccm kuwapatia umeme wa uhakika.
 
sidhani wameru hawajui kula pilau!pia hawatakubali utawala wa kifalme baba kumuachia mtoto uendelee
 
Nimekushusha sana CV kwa kusema eti JK alishinda 2010.Mental ill

Kawaida anayetangazwa kuwa ni Raisi ina maana ameshinda.

Hivyo mimi binafsi sioni kama mtoa mada amekosea. Na sisis wapiga kura kwa kuwa tuliridhika na matokeo ndio maana ameshinda 2010. mbona hatukukataa, na tukapita mitaani tunashangilia CCM, CCM, CCM, CCM,.......... TUMEVAA NJANO NA KIJANI.

TUKUBALI TU kwani hata Arumeru yatakuwa yale yale hakuna jipya.

Tutaishia kulalamika mbele ya keyboard tu, hakuna mpya.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Unakusea sana kuwalaumu wa tanzania.

Watanzania huwa hawafanyi kosa sanaaa.

Heko kubwa na bao la ushindi wafungalo ccm dhidi ya wapinzani ni kuiba kura.Wakishilikiana kwa karibu sana na hawa chui wavaao ngozi ya kondoo si wengine ni usalama wa taifa..

Kama huko arumeru watawakamata koo mpaka mwisho kuhakikisha hawapati mwanya wa kuiba kura hakika tutarajie maajabu makubwa.

Heko nyingine na bao la dochi walifungalo ccm ni umasikini wa watanzania.
Asilimia kubwa na wafuasi wakubwa wa ccm ni wale watanzania wa kipato cha chin.
Ambao hukubali kulubuniwa na pombe za kienyeji,vyakula,nyama choma,mashati,t-shirt,kapero ,kanga na skaf,vitambaa
na kuhongwa vijisent vidogo ili waipigie kura ccm.
 
hata mimi nakubaliana na wewe,
watanzania ni lazima wajue walikotoka, waliko na wanakokwenda.
 
Yah sitashangaa ilo pia,zinaweza tumika ata bilion 10,cha msingi tumuombe mwaeyez Mungu aingilie kati haki itendeke.sitashangaa pia ccm kuangukia pua coz ule mtandao mwingine unaweza usikubali mamvi (EL) kuongeza kiumbe!
 
Kawaida anayetangazwa kuwa ni Raisi ina maana ameshinda.

Hivyo mimi binafsi sioni kama mtoa mada amekosea. Na sisis wapiga kura kwa kuwa tuliridhika na matokeo ndio maana ameshinda 2010. mbona hatukukataa, na tukapita mitaani tunashangilia CCM, CCM, CCM, CCM,.......... TUMEVAA NJANO NA KIJANI.

TUKUBALI TU kwani hata Arumeru yatakuwa yale yale hakuna jipya.

Tutaishia kulalamika mbele ya keyboard tu, hakuna mpya.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!

Mkuu, hizo njano na kijani ulizivalia mitaa gani? kumbuka siyo asilimia 60 walioshangilia, pia kumbuka katiba yetu iliyopo hairuhusu kupinga matokeo sehemu yeyote ile, iwe mahakamani au kuandamana.
 
NIMESEMA HIVYO KUTOKANA NA UZOEFU WANGU,SISI TULIO OFISINI TENA WENGINE WAKO NJE YA NCHI HATUJUI VIZURI KUHUSU KILE KINACHOK=TOKEA KWENYE MAENEO YA TUKIO ILA MATOKEO YANAPOTANGAZWA YANATUSHANGAZA SANA UKWELI NI KUWA PAMOJA NA WIZI WA KURA BADO WAPO WATZ KWA WINGI WATAKAOICHAGUA CCM, NAAMINI KWA HALI TULIYONAYO SASA HAISTAHILI HATA MTANZANIA MMOJA AIPIGIE KURA CCM ,NA TUKIFIKA HAPO HATA KUIBA KURA WATAOGOPA ILA KWA SASA KWA KUWA WAPO WENYE MAPENZI NA CCM WALIOTAYARI KULA UBWABWA WA BURE KWA SIKU MOJA NA KUICHAGUA BASI NAO WANATUMIA MWANYA HUO HUO KUIBA KURA

bado nasisitiza sitashangaa kuona CCM ikiibuka kidedea Arumeru Mashariki
 
Unajua Mwenyezi Mungu katuumba iumbe waajabu sana kwa kutupa Elimu na Utashi,hivyo tunauwezo wa kuamua kama kipi chema na kibaya. Ukilaumu waliopiga kura mwaka 2010 ni asilimia ndogo sana ya watanzania wote walioandikishwa kupiga kura,mbaya zaidi ni wasomi wanaoelewa umuhimu wa kura moja kwenye uchaguzi.Tujiuliza ni bora wapi waliopiga kura au wasiopiga kura wanahaki ya kulalamika?Na ukiangalia walalamikaji wote ni wale waliojiandikisha lakini hawaendi kupiga kura kwa kisingizio cha hawana muda au wanaogopa fujo.
Mbeya waliopiga kura 80% ni vijana walioamua mabadiliko na waliweza kubadilisha Mbunge kutoka CCM kwenda Chadema.Watanzania tusipende kulalamika wakati wa kupiga kura tuamke sote tukapige kura tuone kama NEC inaweza kubadilisha matokeo.Tujajaribu sasa tusilaumu wachache tulaumu wengi wasioenda kupiga kura.Asante.
 
unajua mwenyezi mungu katuumba iumbe waajabu sana kwa kutupa elimu na utashi,hivyo tunauwezo wa kuamua kama kipi chema na kibaya. Ukilaumu waliopiga kura mwaka 2010 ni asilimia ndogo sana ya watanzania wote walioandikishwa kupiga kura,mbaya zaidi ni wasomi wanaoelewa umuhimu wa kura moja kwenye uchaguzi.tujiuliza ni bora wapi waliopiga kura au wasiopiga kura wanahaki ya kulalamika?na ukiangalia walalamikaji wote ni wale waliojiandikisha lakini hawaendi kupiga kura kwa kisingizio cha hawana muda au wanaogopa fujo.
Mbeya waliopiga kura 80% ni vijana walioamua mabadiliko na waliweza kubadilisha mbunge kutoka ccm kwenda chadema.watanzania tusipende kulalamika wakati wa kupiga kura tuamke sote tukapige kura tuone kama nec inaweza kubadilisha matokeo.tujajaribu sasa tusilaumu wachache tulaumu wengi wasioenda kupiga kura.asante.
Tukiamua tu tunaweza
 
Unajua Mwenyezi Mungu katuumba iumbe waajabu sana kwa kutupa Elimu na Utashi,hivyo tunauwezo wa kuamua kama kipi chema na kibaya. Ukilaumu waliopiga kura mwaka 2010 ni asilimia ndogo sana ya watanzania wote walioandikishwa kupiga kura,mbaya zaidi ni wasomi wanaoelewa umuhimu wa kura moja kwenye uchaguzi.Tujiuliza ni bora wapi waliopiga kura au wasiopiga kura wanahaki ya kulalamika?Na ukiangalia walalamikaji wote ni wale waliojiandikisha lakini hawaendi kupiga kura kwa kisingizio cha hawana muda au wanaogopa fujo.
Mbeya waliopiga kura 80% ni vijana walioamua mabadiliko na waliweza kubadilisha Mbunge kutoka CCM kwenda Chadema.Watanzania tusipende kulalamika wakati wa kupiga kura tuamke sote tukapige kura tuone kama NEC inaweza kubadilisha matokeo.Tujajaribu sasa tusilaumu wachache tulaumu wengi wasioenda kupiga kura.Asante.

NI KWELI ILA HATA KAMA WANGEPIGA WATU KUMI WOTE WAKAICHAGUA CHADEMA, CHADEMA INGESHINDA SWALA SIO IDADI YA WAPIGA KURA SWALA NI NINI CHAGUO LAO,KWA HALI TULIYO NAYO SASA NI AIBU KUISIFU CCM HADARANI NA HII SI NI ZAIDI AIBU KUBWA KUICHAGUA??

UKISHANGAA YA MUSA UTAONA YA ****......;ANGALIA IGUNGA NA UZINI NA SASA YETU MAcHO ARUMERU EAST
 
kwa ccm ya EL sitashangaa Siyoi (Sioi) akaibuka mshindi. hata hivyo ushindi wa siyoi wa ccm ya lowassa utakuwa umedhalilisha haki na utu wa wameru.
Sina hakika kama wameru wananunulika na kuuza utu wao!
Mungu inusuru Tanzania ya wastaarabu!
 
chadema chadema chadema,

msijipe moyo kuwa mtashinda arumeru mashariki,watanzania ni watu wa ajabu sana,labda niwakumbushe kidogo wakati kashfa kuu kwa serikali ya richmond kulikuwa na uchaguzi wa ubunge tunduma na ccm yenye kashfa ikashinda,tukiwa kwenye hali mbaya kiuchumi,kisiasa na kashfa kede uchaguzi mkuu 2010 watanzania walimchagua jk na ccm yake kwa zaidi ya asilimia 60,juzi juzi igunga pamoja na matatizo yote waliyonayo magamba bado watanzania wakaichagua ccm,uzini nayo mmejionea,watanzania watanzania watanzania ni nani awakomboe.ndugu zangu siwakatishi tamaa ila msishangae ccm ikiibuka na ushindi mnono arumeru mashariki wananchi wa tanzania ndivyo walivyo bado hawako tayari kukombolewa.
Wengine hawaamini mpaka waone tena Mkuu!!
 
Back
Top Bottom