Msimjaribu Zitto, mtaumia!

Du! Zomba nimemkubali yani toka asubuhi amejibu kila comment! Sijui hata kama leo kala chakula, ugamba mzigo jamani...

Si tulikuwa wote kuanzia asubuhi. Nadhani hata hujui kuwa siku hizi hivi vitu viko so mobile. Anywhere anytime.
 
Katika wengi waliochangia, wewe umekuja na swali linalohusika na mada, nakupongeza kwa hilo. Wengi wanakuja na jazba.

Chadema wataumia kwa kuwa Zitto ana wafuasi wengi sana, kumbuka Zitto aliwafunguwa macho vijana na wakasema, kumbe inawezekana. Mtapoteza kiti chake cha ubunge. Mtapoteza na wafuasi wake wengi ndani ya chadema. Isitoshe, ana siri nyingi za chadema azijuazo, mko tayari zianikwe?

Hao wafuasi wake ni waganga njaa, amini nakwambia hakuna rafiki au adui wa kudumu kwenye siasa, wacha aende na hizo siri azianike tu.
 
You obviously cannot tell intellectual laziness from a nugget of first principles.

You further exhibit a penchant for lazy similes where a fuller explanation is needed, how is laziness contagious?

How can you precede and advocate for a cult of personality over a deeper analysis?

It seems you love playing circles:

You have all the rights to have your opinion.

To me, Zitto has the qualities needed plus. Personality matters a lot in a public figure, if you never knew, keep it in mind, you will learn about it sooner or later and you will remember this post. Principles indeed are first and foremost, policies must be adhered to, he is in the game for quite sometime now to learn the trade.

Memory lapses?
 
Hao wafuasi wake ni waganga njaa, amini nakwambia hakuna rafiki au adui wa kudumu kwenye siasa, wacha aende na hizo siri azianike tu.

Kwani alisema anaondoka au alitangaza nia ya kugombea Urais? msimjaribu "mtaumia".
 
So Zitto now is the deus ex machina?

Too shallow for Zitto. Humanly choices are nothing but illusions to amuse our feeble minds. God's Choice? a bit premature for that. My choice for now? yes indeed.
 
Too shallow for Zitto. Humanly choices are nothing but illusions to amuse our feeble minds. God's Choice? a bit premature for that. My choice for now? yes indeed.

The one thing that's surely shallow in this thread is your unashamed attempt at building a cult of personality.
 
zomba

Umewashika vibaya mpaka kieleweke...Zomba 1 = Magwanda 1000
 
Last edited by a moderator:
Hapo juu umesema akiachwa kwenye urais ataondoka, na atamwaga siri. Ila jua moja katika maisha kuna failures na winning yote ni sehemu ya maisha, sasa akimwaga hizo siri yaweza kuwa ni failures kama kweli hizo siri zipo.
Hapa soimkatai Zitto kuwa candidate ila njia yenu mnayotumia inaniboa, kwanini mje kwa vitisho? kwanini asisimame kwa merits? Hajiamini? Hakubaliki? mpaka atumie haya mautumbo?

Kwani alisema anaondoka au alitangaza nia ya kugombea Urais? msimjaribu "mtaumia".
 
Hapana, hatuwachagulii "candidate" wenu, mimi nafata kauli ya Zitto ya kuwa ametangaza nia ya kugombea Urais 2015 au hujui hilo? kama hujui jikumbushe kwa kusoma hapa.
Zomba,
Nimekuelewa. Zitto ana haki ya kujipigia debe kama raia yeyote wa Tanzania lakini sisi tutafuata zaidi utaratibu wa Chadema wa kuchagua flag bearer na hatutakuwa influenced na matangazo ya watu binafsi. Tusubiri hiyo 2015 tuone Chadema watamsimamisha nani. Wanaweza kumsimamisha Zitto au mwingine kabisa ambaye hajajipigia debe. Sasa ikiwa hivyo msilalamike eti kwa nini hatukumsimamisha Zitto. Itakuwa kana kwamba mnataka kutuchagulia. Na sisi kadhalika hatutawaingilia uchaguzi wa mgombea wenu wa CCM.
 
This sober input, sees a cult of personality for what it is, and attempts to stress the importance of something greater than a fleeting infatuation charged with wishful thinking and idolized legends beyond practical observations and any level of prudent reflection.

It is exactly this balancing steer that makes JF more than a dirigible cheerleading team that is prone to the charms of many a sophomoric rhetoric.
 
And your point is? Obviously you seem to be challenged by any elementary level of complexity.

Go back to the post, you would have noticed 2 posts of yours. Read them

Marked red; Very healthy, it is called intuitive knowledge.
 
Back
Top Bottom