Msigwa kuendelea kukonga nyoyo za watu iringa mjini, imekaaje hii?

kamandamakini

Senior Member
Feb 17, 2012
165
137
[h=3]mikutano ya chadeema yandelea iringa mjini moto wa msigwa haushikiki.[/h]





akina mama wamtwivila wakijipanga kununua kadi za chadema leo feb 28-2012.







Mhe. Msigwa akicheza na wanachama wa chadema wakati wakichangia chama.




katika mkutano huu wananchi walichangia Tsh.52000, pichani diwani kata ya mivinjeni chadema Mhe. Nyalusi.




akina mama wafurahia chadema






mitaa ya mtwivila watu wakishangila chadema mara baada ya mkutano.​
 
mpaka 2014, uchaguzi wa serikali za mitaa CCM itakua taabani ikipumulia Mashine...
 
Back
Top Bottom