Wana-JF!
Kuna taarifa kuwa mchungaji Msigwa amemuomba mzee Mtei ambae ni muasisi wa CHADEMA akaongee na bwana Kinana ili wasuruhishe mgogoro kati yake mchungaji Msigwa na Kinana baada ya tuhuma zake kwa Kinana kuwa ni jangili.
Inasemekana mchungaji Msigwa amefikia maamuzi hayo baada ya kuona hatma mbaya ya kesi hiyo kwa kukosekana kwa ushahidi usio na shaka wenye kuthibitisha kuwa bwana Kinana ni jangili na anajihusisha na kusafirisha pembe za ndovu.
Mchungaji Msigwa baada ya kuona mambo yamefika maji shingo ndipo hapo akaona ni vyema amuombe mzee Mtei kwa kuwa ana hekima na busara ili akamuombee radhi kwa bwana Kinana ili aifute kesi hiyo mahakamani.