Ali Happi ni kijana asiyejifunza kutokana na makosa. Ilitakiwa ajifunze kipindi kile cha Mzee Kinana, akarudia makosa tena kwa Chongolo

KARLO MWILAPWA

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
2,590
4,601
Nikikumbuka kipindi kile Ali Happi alipowabeza wazee wakae kimya maana muda wao wa kuzungumza umeisha lakini Mungu akampa somo kupitia mzee Kinana baada ya kuukwaa Umakamu Mwenyekiti wa CCM, tukajua Hilo ni somo kubwa sana maishani mwake.

Hilo likaisha. Likaja jingine tena la kujiuzulu Kwa Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo akarekodi video ikimuonesha akiimba Kwa kumsema mtu licha ya ujumbe wa maneno hayo hayakuelekezwa na muimbaji Moja Kwa Moja Kwa Chongolo lakini kulingana na upepo wa matukio ya kipindi kile na muda maneno Yale yanatolewa Moja Kwa Moja ilionesha mlengwa ni Chongolo. Leo Chongolo kateuliwa Tena kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe.

Kijana huyu ana tatizo gani la kushindwa kujirekebisha?
 
We nawe!!

Kuwa mwanaccm siyo lazima uwe chawa!!

Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake!!

Hasta Sasa wazee wameruhusiwa wazungumze nini.kimetokea!!?

Umeme was mgao,mfumuko was bei!Sasa sauti ya wazee inamsaada gani Kwa taifa!!?

Hadi Sasa Ally happi alikua sahihi!!
Nikikumbuka kipindi kile Ali Happi alipowabeza wazee wakae kimya maana muda wao wa kuzungumza umeisha lakini Mungu akampa somo kupitia mzee...
 
Nikikumbuka kipindi kile Ali Happi alipowabeza wazee wakae kimya maana muda wao wa kuzungumza umeisha lakini Mungu akampa somo kupitia mzee Kinana baada ya kuukwaa Umakamu Mwenyekiti wa CCM, tukajua Hilo ni somo kubwa sana maishani mwake.

Hilo likaisha. Likaja jingine tena la kujiuzulu Kwa Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo akarekodi video ikimuonesha akiimba Kwa kumsema mtu licha ya ujumbe wa maneno hayo hayakuelekezwa na muimbaji Moja Kwa Moja Kwa Chongolo lakini kulingana na upepo wa matukio ya kipindi kile na muda maneno Yale yanatolewa Moja Kwa Moja ilionesha mlengwa ni Chongolo. Leo Chongolo kateuliwa Tena kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe.

Kijana huyu ana tatizo gani la kushindwa kujirekebisha?
Mnyamwezi huyo mwacheni alime mpunga kandokando ya barabara
 
Dogo ana ujima mwingi wa kisiasa. Ujima na ujamaa ni vitu viwili tofauti kabisaaaaa
 
Nimemtafakari vizuri na kile kilimo chake cha nyanya nikagundua anatumia kilimo ili kurudi serikalini, yule bado anafukuzia teuzi kwa nguvu zote, anajiona bila kuwa na cheo yeye sio kitu, Happi ni type nyingine ya kina Kigwangala.
Sahihi
 
Back
Top Bottom