Msichana kaning'ang'ania, nifanyeje?

Mkuu yaani umuache huyo msichana kisa tu kukuganda au kuna sababu nyingine?
Acha ujinga bana,kama humtaki muambie tu asepe kuliko kuja kumuumiza baadae.....
 
Yaani unapendana na mtu halafu unasema anakuganda!Sasa ulitaka mapenzi ya rimoti?Kama unaona haupo tayari kuwa nae ni heri umwambie mapema kuliko kumpotezea muda mtoto wa watu.
 
kwani kukuita mume ni tatizo mkuu, kuna jamaa Hapo mlango wa pili analalamika kuitwa "WEWE", Au kuna sababu nyingine???. Au humpendi tu? Ushamchoka? Au sio mwaminifu kwako,? unataka mwanamke akufanyie nini ujue anakupenda,

?? Au mwenzio ana focus Ndoa, wewe ni Hit and Run?? Kwanini upo katika mahusiano?? Aisee Kama humpendi Mdada wa watu, usimpotezee muda, mwache, wapo wanaoelewa Kwanini wapo katika mahusiano watamuelewa.
 
Kuna msichana mmoja niko nae kaning'ang'ania. Nimeshamwambia twende taratibu lakini yeye ana kasi sana, mara ananiita mume. Wakati bado nataka tuchunguzane kwanza. Yaani kajaa matumaini mpaka nashangaa yaani ameshajua kama mi ndio namuoa.

Nifanye ili nimuache?Ushauri
Jifumanishe tu
 
Kama humtaki mwambie mapema usimpotezee muda, ni bora ajue ajiweke kando na mwisho wa siku atakuja kumpata anaejua kupenda sio wa hit and run. :amen:.............. Nawasiwasi isije ikawa ni wewe nnaejifanya wangu ndo umekuja kuanika huku yako ya moyon :confused2: .
 
Aiseee!!! Mkuu mwaka wa uchaguzi huu jipange hakikisha hurudii makosa yalee ya kumpigia kura mtu usiyemjua matokeo yalipotoka unashangaa tena!!,Fanya hima tuwatoe hawa watu wa mtaa lumumba then am sure muda huo wametoka hata huyu msichana mtakuwa mshajuana so utamuoa vizuri tu
 
Huyo dawa yake mbona ndogo
We mpe sugari guru halafu changanya na mboga ya mgagani mwambie aweke kwenye papuchi kwa muda wa Masaa 48..halafu mpande kama beberu uone kama atakusumbua tena na wewe kama utamchunguza tena zaidi ya kutangaza ndoa tu kwa utamu wa mgagani..
 
Ulipomtongoza aukuomba ushauri hapa,ila unapotaka kumuacha ndio unaomba ushauri
Sasa kama amekung'ang'ania na wewe si umng'ang'anie ili mng'ang'aniane
 
Back
Top Bottom