Hatimaye vifijo, nederemo pamoja na simsnzi vyatua kwenye viwanja vya SUA, Swala hilo limejitokeza baada ya matokeo ya University Examination (UE) kutolewa kwenye mbao za matangazo huku vijana wengi wakiawa wanasikitika sana kutokana na kukosa boom la mwaka mpya wa masomo kutokana na kukosa sifa za kuendelea na chuo hicho huku wengine wakijipongeza kwa kufanya vizuri masomo yao.
Jambo la kusikitisha ni pale kijana mmoja alipoamua kujinywea pombe kali aina ya Konyagi ili alewe asahau yaliyopita, lakini kwa bahati nzuri mungu si athumani kwani kijana huyo hakulewa bali aliishia kupata adhabu ya pombe, EWE GREAT THINKER NAOMBA NISAIDIE KUWA JE, SULUHU YA MAWAZO NI POMBE??????
kweli aiseekatika kukua,kila stage ina umuhimu wake. acha watoto watembee tet-a-tete ndo wataweza kukimbia!
vijana,poleni kwa kukosa boom. wenzenu ulaya wanafanya parttime kwa kuuza bar,maduka etc.tafuteni ajira halali na mengine yote mtazidishiwa!
kweli aisee
hapa part time ni mizinga minne ya konyagi na mikasi
kaka thread yako ni kama michezo ya Deci, hebu ipange vizuri na uifanye ieleweke
bujibuji, mikatabafeki na kiteitel na mchambuzi, hamjamtendea haki mtoa thread.
mmpe majibu yake kama kweli kunywa pombe kunakufanya usahau msala uliopo. wengi mbinu hiyo wanaitumia, hivyo kwa wasio walevi ni hypothesis wanataka kuiprove.
Alichonikela ni kutanguliza msiba kwa mtu aliyekunywa pombe kwa starehe zake mwenyewe. huo ni udhaifu wa thread yake kwani inavuta makini ya wanaJF, halafu mtu akiingia anakuta hbr za pombe hakuna msiba.
Cr nimeogopa nikajua msiba kumbe ukuda 2. Jaman degree ya sua ni sawa na degree mbili za udom na st john. Usipeleke sua mapenzi wanakula kichwa waulizeni mabrodhermen wa rural wanajidai wanasoma arts sua hawangalii hilo, wanasema walimu wao life z nt al abt degree, pia waulize btm EIA imewafanya nini, sua noma, uspeleke love story utalisikia bumu kwenye bomba
Haueleweki kajipange upya mkuu.
we kijana kwani ulitaka kutueleza nini? mbona haueleweki?Hatimaye vifijo, nederemo pamoja na simsnzi vyatua kwenye viwanja vya SUA, Swala hilo limejitokeza baada ya matokeo ya University Examination (UE) kutolewa kwenye mbao za matangazo huku vijana wengi wakiawa wanasikitika sana kutokana na kukosa boom la mwaka mpya wa masomo kutokana na kukosa sifa za kuendelea na chuo hicho huku wengine wakijipongeza kwa kufanya vizuri masomo yao.
Jambo la kusikitisha ni pale kijana mmoja alipoamua kujinywea pombe kali aina ya Konyagi ili alewe asahau yaliyopita, lakini kwa bahati nzuri mungu si athumani kwani kijana huyo hakulewa bali aliishia kupata adhabu ya pombe, EWE GREAT THINKER NAOMBA NISAIDIE KUWA JE, SULUHU YA MAWAZO NI POMBE??????
Umenikumbusha mtu mzima Sembuche na Matofali. Hawa washkaji watata kweli kwenye Mathematics.
kumbe na kuwadharau kote wenzio wa udom,we uko sua,me nilidhani hata uko oxford au havard?