Msiba mkubwa watua sua, kijana anywa mizinga minne bila kulewa

Kwa hyo we umefurahia wenzio kudisco au ni me ndo cjakuelewa?
 
Hatimaye vifijo, nederemo pamoja na simsnzi vyatua kwenye viwanja vya SUA, Swala hilo limejitokeza baada ya matokeo ya University Examination (UE) kutolewa kwenye mbao za matangazo huku vijana wengi wakiawa wanasikitika sana kutokana na kukosa boom la mwaka mpya wa masomo kutokana na kukosa sifa za kuendelea na chuo hicho huku wengine wakijipongeza kwa kufanya vizuri masomo yao.
Jambo la kusikitisha ni pale kijana mmoja alipoamua kujinywea pombe kali aina ya Konyagi ili alewe asahau yaliyopita, lakini kwa bahati nzuri mungu si athumani kwani kijana huyo hakulewa bali aliishia kupata adhabu ya pombe, EWE GREAT THINKER NAOMBA NISAIDIE KUWA JE, SULUHU YA MAWAZO NI POMBE??????

Kaka ni wewe uliyelewa hiyo konyagi nini? Maana hueleweki kabisa!!!
 
katika kukua,kila stage ina umuhimu wake. acha watoto watembee tet-a-tete ndo wataweza kukimbia!
vijana,poleni kwa kukosa boom. wenzenu ulaya wanafanya parttime kwa kuuza bar,maduka etc.tafuteni ajira halali na mengine yote mtazidishiwa!
kweli aisee
hapa part time ni mizinga minne ya konyagi na mikasi
 
kaka thread yako ni kama michezo ya Deci, hebu ipange vizuri na uifanye ieleweke

bujibuji, mikatabafeki na kiteitel na mchambuzi, hamjamtendea haki mtoa thread.

mmpe majibu yake kama kweli kunywa pombe kunakufanya usahau msala uliopo. wengi mbinu hiyo wanaitumia, hivyo kwa wasio walevi ni hypothesis wanataka kuiprove.

Alichonikela ni kutanguliza msiba kwa mtu aliyekunywa pombe kwa starehe zake mwenyewe. huo ni udhaifu wa thread yake kwani inavuta makini ya wanaJF, halafu mtu akiingia anakuta hbr za pombe hakuna msiba.
 
huyo SUA anazingua tu bora angepiga mass communication hiyo ingemtoa kwa pupa maana yuko fiti kwa taarifa za udaku.
 
Cr nimeogopa nikajua msiba kumbe ukuda 2. Jaman degree ya sua ni sawa na degree mbili za udom na st john. Usipeleke sua mapenzi wanakula kichwa waulizeni mabrodhermen wa rural wanajidai wanasoma arts sua hawangalii hilo, wanasema walimu wao life z nt al abt degree, pia waulize btm EIA imewafanya nini, sua noma, uspeleke love story utalisikia bumu kwenye bomba
 
Bwana mdogo inaonyesha hiyo pombe bado ipo kichwani usiparamie jukwaa la GT ukiwa chakari kwani madhara yake ndiyo haya kuambiwa"hueleweki"
 
Cr nimeogopa nikajua msiba kumbe ukuda 2. Jaman degree ya sua ni sawa na degree mbili za udom na st john. Usipeleke sua mapenzi wanakula kichwa waulizeni mabrodhermen wa rural wanajidai wanasoma arts sua hawangalii hilo, wanasema walimu wao life z nt al abt degree, pia waulize btm EIA imewafanya nini, sua noma, uspeleke love story utalisikia bumu kwenye bomba

acha dharau mkuu.wat so special at sua,mbona nao weupe 2?
 
HUYU NDIYE CLASS REPRESENTATIVE WA PROBATION (CR WA SUPLEMENTARY EXAMS) Kwa kweli kama kweli wewe ni mwanafunzi wa SUA Utakua umeandika hii thread ukiwa pale KAUMBA na tena inaelekea ulipo maliza kupost ulienda kungoka peku, japokua ulikua unafurahia kufaulu, pole kwa kuwa ulikua hujui ukifanyacho..
 
Umenikumbusha mtu mzima Sembuche na Matofali. Hawa washkaji watata kweli kwenye Mathematics.
 
Hatimaye vifijo, nederemo pamoja na simsnzi vyatua kwenye viwanja vya SUA, Swala hilo limejitokeza baada ya matokeo ya University Examination (UE) kutolewa kwenye mbao za matangazo huku vijana wengi wakiawa wanasikitika sana kutokana na kukosa boom la mwaka mpya wa masomo kutokana na kukosa sifa za kuendelea na chuo hicho huku wengine wakijipongeza kwa kufanya vizuri masomo yao.
Jambo la kusikitisha ni pale kijana mmoja alipoamua kujinywea pombe kali aina ya Konyagi ili alewe asahau yaliyopita, lakini kwa bahati nzuri mungu si athumani kwani kijana huyo hakulewa bali aliishia kupata adhabu ya pombe, EWE GREAT THINKER NAOMBA NISAIDIE KUWA JE, SULUHU YA MAWAZO NI POMBE??????
we kijana kwani ulitaka kutueleza nini? mbona haueleweki?
 
Umenikumbusha mtu mzima Sembuche na Matofali. Hawa washkaji watata kweli kwenye Mathematics.

kumbe na kuwadharau kote wenzio wa udom,we uko sua,me nilidhani hata uko oxford au havard?
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom