Msiba mkubwa: Adam Lusekelo Mwakang'ata

I use to find him at coffee shop Mlimani City, quite and confident. When you read his works his brain becomes superior to his composure. Some people may no longer buy S.News!

RIP man
 
Taarifa za kusikitisha zilizonifikia muda mfupi uliopita zinasema mwandishi wa habari maarufu ADAM LUSEKELO amefariki dunia leo alfajiri kwenye Hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es Salaam. Taratibu za mazishi zinafanywa nyumbani kwake jirani na lililokuwa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Ubungo.
Mmoja wa waombolezaji aliyepo msibani, ambaye ni jirani yake, amethibitisha taarifa hizi. Wakati wa uhai wake Lusekelo alifahamika zaidi kwa aina yake ya uandishi wa 'satire' kwenye gazeti la SUNDAY NEWS akiwa na safu maarufu ya 'With A Light Touch' na miaka ya hivi karibuni alikuwa akiandika safu nyingine iliyoitwa "EYE SPY" kwenye gazeti la THISDAY.
Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.

DAILY NEWS Reporter, 1st April 2011

SEASONED and veteran journalist, Adam Lusekelo (54) passed away while being rushed to Muhimbili National Hospital (MNH) on Thursday night, his wife Scolastica Lusekelo, said.

Ms Lusekelo said the deceased's health deteriorated on Thursday night when relatives rushed him to MNH.

"He didn't even reach the hospital, he breathed his last on the way at around 11pm," Ms Lusekelo said. The 'Sunday News' columnist has been battling diabetes for a long time and was surviving on medication.

"Oh, no! We have lost a 'Sunday News' readers' favourite," lamented the newspaper's Editor, Ichikaeli Maro upon receiving news of Mr Lusekelo's death.

His column, a unique blend of writing serious issues of national importance with a soft touch, won many hearts and souls.

"My husband will miss him badly, he was his favourite columnist," said Joyce Sabuni, Tanzania Standard Newspapers employee in the circulation section.

TSN Acting Managing Editor, Mkumbwa Ally also mourned the death of one of journalism's most gifted writers. Burial arrangements are being made at his home at Ubungo Maziwa, but the body is likely to be transported to his home region of Rungwe in Mbeya, his wife said.

The late Lusekelo is survived by a wife and three children, two daughters and a son. He worked with TSN briefly in the 1980s before joining BBC as a correspondent based in Dar es Salaam.

I was still in a state of denial, but now I must accept. Dah!
R.I. P brother Adam. I can't imagine not reading your article any more. ah! so sad.
 
Nilikuwa na kawaida ya kutembelea www.dailynews.co.tz, lengo likiwa kusoma makala ya mwandishi mmoja tu, naye ni Adam Lusekelo. Nakumbuka nimewahi kumtumia email kumuuliza inakuwaje anaandika kuikosoa serikali ktk gazet la serikali? Hakika alikuwa jasiri na mweledi katka kazi yake. RIP adam.
 
I use to find him at coffee shop Mlimani City, quite and confident. When you read his works his brain becomes superior to his composure. Some people may no longer buy S.News!

RIP man
Kweli mkuu,pale kilikuwa kijiwe chake maarufu sana,Apumzike kwa amani na Mungu aipe faraja familia yake.
 
R.I.P. Adam,
The readers of Tanzania mourn you.
May God console the bereaved - wife and children.
 
Please tell me this was April fools' stuff!! Lusekelo is gone?????? Siamini!! Mbona hata Michuzi hakuweka habari yeyote na ni colleague wake? Lazima tungepata breaking news za mpambanaji. I really dont believe this....really dont!
 
Back
Top Bottom