Mutambukamalogo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 397
- 85
Nilipenda sana makala zake. Mara ya mwisho kumuona ilikuwa mwaka 2005 kwenye restaurant ya Continental Hotel Mbeya mjini. R.I.P my brother!.
sidhani kama uwongo.....isije ikawa ndo siku ya wajinga.angalia sana kama uongo tunakuban.
R.I.P my Brother ADAM

Taarifa za kusikitisha zilizonifikia muda mfupi uliopita zinasema mwandishi wa habari maarufu ADAM LUSEKELO amefariki dunia leo alfajiri kwenye Hospitali ya Hindu Mandal jijini Dar es Salaam. Taratibu za mazishi zinafanywa nyumbani kwake jirani na lililokuwa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Ubungo.

Mmoja wa waombolezaji aliyepo msibani, ambaye ni jirani yake, amethibitisha taarifa hizi. Wakati wa uhai wake Lusekelo alifahamika zaidi kwa aina yake ya uandishi wa 'satire' kwenye gazeti la SUNDAY NEWS akiwa na safu maarufu ya 'With A Light Touch' na miaka ya hivi karibuni alikuwa akiandika safu nyingine iliyoitwa "EYE SPY" kwenye gazeti la THISDAY.

Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.

Sadly enough. This story is credible. I worked with the late Adam Lusekelo at Daily/Sunday News in the early 80's and I have got it confirmed from reliable sources. Sometimes, life seems to have no logic. May his soul rest in eternal peace!am so sceptic about this news, ktk kusikiliza kwangu kote vyombo vya habari sikupata sikia habari kama hii, ukizingatia alikuwa mwandishi mahiri wa habari, kifo chake kisinge acha kutangazwa.
Hapo pekundu, unajuaje kama mkewe bado yupo hai.
Vipi amefariki na ugonjwa gani?..kiswahili kigumu sana, na maanisha nini sababu ya kifo chake? na je kuna lolote la kujifunza kutokana na sababu ya kifo chake.
RIP Adam