Mshikaji wangu kampenda Mwanamke wa Club

Jamaa anasema simu za mwanamke muda wote ziko busy mbaya mpaka wanagombana,mshikaji akisafiri inapofika usiku akiwa anampigia simu mwanamke huyu, mawasiliano yanakua ya tabu sana na wakati mwingine anamkatia simu,akija kumuuliza mwanamke anakua mkali na kumtamkia waachane.
Jamaa anasema..... aaghh wapi!
 
Ndugu nisiwachoshe msinichoshe

Jamaa ametuijia leo akiomba msaada wa ushauri, tukasema acha wengine tuingie hapa, mshikaji kampenda mwanamke lakini hamjui vizuri, sisi tunaishi na mwanamke nyumba moja kama wapangaji maeneo ya kazi.

Mshikaji kampenda huyu mdada ambaye awali alikua anafanya kazi za barbershop, mara kwenye mahotel.

Nowdays mwanamke hanaga kazi yupo nyumbani, lakini anaweza kushinda geto mchana wote na ikifika saa kumi za jioni mwanamke anatoka na anarejea kwenye kuanzia saa tano mpaka hata saa nane.

Mshikaji akimbana mwanamke anamwambia ana mawazo na alienda club kupoteza mawazo, jamaa anampenda demu lakini bi dada anaonyesha Dalili zote za kua ni mwanamke w kudanga.

Jamaa anasema simu za mwanamke muda wote ziko busy mbaya mpaka wanagombana,mshikaji akisafiri inapofika usiku akiwa anampigia simu mwanamke huyu, mawasiliano yanakua ya tabu sana na wakati mwingine anamkatia simu,akija kumuuliza mwanamke anakua mkali na kumtamkia waachane.

Kimsingi jamaa kwa maoni yangu binafsi anapaswa amteme huyu demu,lakini kwa kua amekuja kuomba msaada wa ushauri nini afanye, tukasema tutaongea nae weekend, binafsi nikasema wako wadau waliokutana na kesi hizi za wanawake wa namna hii hebu niwaulizeni japo tumshauri nini hasa
Mwanamke wa Club ni sumu ama mwanamke malaya yoyote hafai.
 
angekuwa ni mshikaji wangu huyo ningemkata mtama
 
Kupenda ni upofu,Ushauri wa jf achana nao kwanza,
Wewe na akili zako timamu unataka Nini kitokee.?Binafs sijaona suala la kuja kuomba Ushauri uku.
Kama tatizo ni yeye kwenda club peke yake nawe nenda naye!
Ukiona wewe Sio wa kwenda club kama yeye basi Sio type Yako.
 
Back
Top Bottom